Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Nimeona hii habari ikiwa inatrend kwenye mitandao ya kijamii baada ya kupostiwa na Azam Tv kule kwenye Instagram.
Kwa presha hii ya Makonda, Emanuel Amunike atakuwa ameingiliwa majukumu yake. Na ikitokea tumefungwa tusimlaumu kabisa.
Je hiko ndiko Makonda alichotumwa kwenda Misri? Je Makonda hapo ni kama nani kwenye benchi la ufundi? Amunike ana madhaifu yake lakini pia na sisi tuna yetu tu na makubwa sana. Halafu hii timu ikiitwa " Timu ya Taifa ya Awamu ya 5 " kuna watu mnachukia? Tusubirie dk 90.