Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Naaaaaaam
Ndugu wanajamvi,
Kuna huyu mjomba aitwaye Kiranga, huwa anasema kuwa hamwamini Mungu.
Msimwamini hata kidogo maana anaigiza aisee.
Juzi nilipandisha uzi jamvini hapa unao husu mrembo Shombe aliyetokea kunihusudu mimi mume wa mtu.
Naona kama ndoto.. Mtoto Shombe Shombe kazama kwangu, kanichagua kati ya wengi.. Nami nina mke - JamiiForums
Kiranga alijitokeza na kunipa ushauri ambao moja kwa moja ni ushauri wa Kimungu. Maneno aliyoyasema Kiranga ni hayo hapo chini kwenye screenshot.
Kiranga ktk ushauri wake huo alisema kuwa, ' NDOA NI AGANO TAKATIFU '.
Sasa kwa hali ya kawaida, ni atheist gani anaamini ktk utakatifu?? Utakatifu huo anauamini kutoka kwa nani?
Ni dhahiri kabisa huyu jamaa anamwamini Mungu maana utakatifu hautoki popote zaidi ya kwa Mungu.
Siku zote anatuigizia hapa, leo kajianika mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app