Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Kwamba kuna watu hawaamini kuwa binadamu ni wanyama kama wanyama wengine tu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba kuna watu hawaamini kuwa binadamu ni wanyama kama wanyama wengine tu..
Fact we muulize jirani yako kama binadamu ni mnyama uone atavyobisha anasema yeye amekuja special wakati zamani yeye alikua anawindwa kama swala tu akijichanganya simba anamla in short binadamu alikua chini ya sokwe in food chain ila now yeye ndo topKwamba kuna watu hawaamini kuwa binadamu ni wanyama kama wanyama wengine tu..
Siyo naweza kuja hapa.
Nilishamuuliza huko alikoitoa hiyo screenshot, akashindwa kunijibu, nikamwambia utakatifu ni neno lenye mzizi wa kutakata, hata nguo tunafua zinatakata, tunaondoa uchafu na madoa bila imani ya Mungu wala msahafu.
Akakimbia mjadala anakuja huku kuanzisha thread kwa jina langu, cheap bullshyt.
Nyege za kutumia jina la Kiranga kuanzisha thread tu!
Sasa hii maana yako iweke ktk muktadha wa NDOA NI AGANO TAKATIFU.Unataka kamusi?
Kamusi hii hapa.
Bishana nayo
Kamusi Kuu ya Kiswahili
Baraza la Kiswahili la Taifa. Longhorn Publishers Limited. Toleo la 2015.
Ukurasa wa 977
Takata
Kitendo cha kitu kama nguo kuwa safi bila hata uchafu kidogo.
Safi, kuwa safi
Takatia, takatisha, takatika n.k
Kwamba kuna watu hawaamini kuwa binadamu ni wanyama kama wanyama wengine tu..
Kwa hiyo utakatifu hauwezekani moaka uwe unahusu Mungu?Bro katika lugha kuna maneno maalumu kwa wakati maalumu na kwa kazi maalumu.
Ni kweli mzizi wa tamko takatifu ni kutakata au kutakasika. Ila tamko takatifu ni tamko hasa kwa lengo fulani.
Sasa umetolea mfano wa nguo. Embu tunga sentensi ijumuishayo neno nguo na takamko takatifu ili ilete maana.
Tanbihi,hakikisha sifa takatifu iende kwenye nguo.
Hivi nguo ikitakata husemwa ni takatifu ? Bro ! Unasafari ndefu ya maalumati.
Nasubiri sentensi.
Kwa hiyo utakatifu hauwezekani moaka uwe unahusu Mungu?
Unaelewa Buddha ni mtakatifu na Buddhists hawaamini katika kuwapo kwa Mungu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Buddha ambaye wanamuita Mtakatifu, ndiye wanamuamini km Mungu wao na ndo maana wanamuita Mtakatifu.Kwa hiyo utakatifu hauwezekani moaka uwe unahusu Mungu?
Unaelewa Buddha ni mtakatifu na Buddhists hawaamini katika kuwapo kwa Mungu?
Sent using Jamii Forums mobile app
La Kamusi ushalijibu kwanza?Naona unakuja ninapo pataka. Kabla sijaendelea kwanza kiri hujajibu swali langu nililo kuuliza.
Pili,utukufu wa mabudha ni ubabatifu juu ya tamko utukufu. Kwani ubudha umejengwa katika misingi ya ushirikina na ujinga. Kwa maana hakuna utakatifu wa hakika katika ubudha kama ilivyo dhulma ya maneno mengine yafanyiwavyo.
Pili utakatifu hauji kama kama wengi wanavyojua. Hapa naweka akiba ya kukupa faida baada ya kujibu swali langu nililo kuuliza hapo kabla.
Ndoa ni agano lisilostahili uchafu, watu wanaweza kuendekeza uchafu (infidelity) katika ndoa dunia nzima ikaisha kwa UKIMWI.Sasa hii maana yako iweke ktk muktadha wa NDOA NI AGANO TAKATIFU.
Sent using Jamii Forums mobile app
La Kamusi ushalijibu kwanza?
Unaweza kuthibitusha huyo Mungu unayemsema yupo yupo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe una mamlaka gani ya kunipa mimi masharti ya kufuata?Bro jaribu kufata nidhamu za kujadiliana kati yangu mimi na wewe mimi ndio nilianza kukuuliza swali. Wewe hukujibu ukaniuliza mimi swali.
Kuhusu la kamusi umejadiliana na mwingine sio mimi.
Jibu swali langu kisha,uulize suala lingine. Ama kuhusu uwepo wa Mola hili halihitaji mjadala mzee,jambo liko wazi tena sahali na limeshajadiliwa mara kibao.
Ninakukumbusha tu,mimi ndie yule niliyekupa masharti ya kufata ili tujadiliane kuhusu uwepo uwepo wa Mola,lakini unajua ulikoishia. Kwa ufupi huwezi kujadiliana na mimi kielimu juu ya uwepo wa Mola.
Turudi kwenye mada.
Hii idea ya ndoa ni agano Takatifu imetoka kwa nani? Uchafu unaouzungumzia kuwa hautakiwi kwenye ndoa ni upi haswa na ni nani aliyesema hivyo ni uchafu kwenye ndoaNdoa ni agano lisilostahili uchafu, watu wanaweza kuendekeza uchafu (infidelity) katika ndoa dunia nzima ikaisha kwa UKIMWI.
Huna haja ya Mungu wala dini kuona hilo.
Sasa mkuu Kiranga swala la ndoa ni utakatifu kwa nyie anthiet linakuaje hili ni utakatifu gani uliouongelea hapo?Siyo naweza kuja hapa.
Nilishamuuliza huko alikoitoa hiyo screenshot, akashindwa kunijibu, nikamwambia utakatifu ni neno lenye mzizi wa kutakata, hata nguo tunafua zinatakata, tunaondoa uchafu na madoa bila imani ya Mungu wala msahafu.
Akakimbia mjadala anakuja huku kuanzisha thread kwa jina langu, cheap bullshyt.
Nyege za kutumia jina la Kiranga kuanzisha thread tu!
Jibu swali kwanza kabla hujauliza swaliWewe unamjua mungu yupi ? Maana kwa dhahiri ta kauli yaki inaonyesha wazi unawajua sana miungu.
Utakatifu wa kutotombana tombana ovyo na kuepuka UKIMWi ili damu ya mtu isiathirike na magonjwa iwe safi kwa mfano.Sasa mkuu Kiranga swala la ndoa ni utakatifu kwa nyie anthiet linakuaje hili ni utakatifu gani uliouongelea hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe huu uzi ni mwendelezo aya mkuu mleta uzi Kiranga kashakuja mjibu sasa maana nilikutaadharisha mapemaSiyo naweza kuja hapa.