CONFIRMED: Kiranga siyo Atheist. Ana pretend tu. Ushahidi huu hapa amejianika mwenyewe

kumbe huu uzi ni mwendelezo aya mkuu mleta uzi Kiranga kashakuja mjibu sasa maana nilikutaadharisha mapema
Hata muendelezo si muendelezo. Maana ungekuwa muendelezo angalau angeniita nije.

Huu uzi ni shobo tu.

Kuanzisha uzi kwa jina la Kiranga.

I should charge a fee for that shyt.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu aliniambia asilimia kubwa ya wasioamini Mungu wana frustration sasa pengine labda ni frustration ndio zilimfanya hadi akaandika kitu ambacho ni kinyume na misimamo yake.
 
Wewe una mamlaka gani ya kunipa mimi masharti ya kufuata?

Kinachokupa kiburi cha kufikiri kwamba wewe unaweza kunipa mimi masharti ya kufuata ni kipi?

Nimekujibu swali lako, tatizo, ukiliona jibu utalitambua hili ndilo jibu?

Unaweza kuthibitisha huyo Mungu wako ambaye ndiyo chemko la utakatifu, kiasi kwamba tukisema utakatifu lazima uwe unamhusu yeye, yupo kweli?

Unaweza kuthibitisha Mungu wako yupo na si hadithi tu?
Ebwana kwanza unakumbuka nilikuuliza swali gani ? Isiwe hata swali hujaliona.
 
Jibu swali kwanza kabla hujauliza swali

No signature!

Jibu swali kwanza kabla hujauliza swali

No signature!

Bro kwanza lazima uwe na adabu za kuuliza maswali.

Swali lako nimekujibu sababu,jibu la swali lako ni kuulizwa swali juu ya swali lako.

Lazina nikujibu kwa kuuliza swali sababu kiuhakika miungu wako wengi. Laiti ungemtaja Mola wangu nisingekujibu kwa kukuuliza swali,sababu najua umemkusudia Mola wangu.

Sasa rudi upya ujibu swali nililokuuliza ndio uulize swali.
 
Wewe una mamlaka gani ya kunipa mimi masharti ya kufuata?

Kinachokupa kiburi cha kufikiri kwamba wewe unaweza kunipa mimi masharti ya kufuata ni kipi?

Nimekujibu swali lako, tatizo, ukiliona jibu utalitambua hili ndilo jibu?

Unaweza kuthibitisha huyo Mungu wako ambaye ndiyo chemko la utakatifu, kiasi kwamba tukisema utakatifu lazima uwe unamhusu yeye, yupo kweli?

Unaweza kuthibitisha Mungu wako yupo na si hadithi tu?

Bro suala la masharti sio mpaka nwe na mamlaka,suala la mashart ni elimu tu maarifa.

Leo mangapi yamekuwa mepesi kwa kufuata masharti ? Leo mangapi yamekuwa magumu kwa kutofta mashart ?

Hakuna jambo lenye utaratibu mzuri lisilo simama bila masharti ?

Bali hakuna mjadala wa kielimu usiofata masharti. Ukiona mtu anazingatia masharti katika mjadala,ujue amekuzidi elimu juu ya hicho mnachotaka kukijadili.

Tatizo watu kama nyinyi mmenyimwa misingi ya elimu ndio maana hata uwezo wenu w kunakishi hoja ni mdogo na umegubiwa na uongo mwingi na wasi wasi tele.

Sasa turudi kwenye mada ya msingi,hasa kwenye tamko la utukufu.
 
Nilichogundua wewe na Kiranga ni Mtu Mmoja

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
jana nimemuona Dkt.Kiranga kanisani kwa Kakobe
 
Bro suala la masharti sio mpaka nwe na mamlaka,suala la mashart ni elimu tu maarifa.

Leo mangapi yamekuwa mepesi kwa kufuata masharti ? Leo mangapi yamekuwa magumu kwa kutofta mashart ?

Hakuna jambo lenye utaratibu mzuri lisilo simama bila masharti ?

Bali hakuna mjadala wa kielimu usiofata masharti. Ukiona mtu anazingatia masharti katika mjadala,ujue amekuzidi elimu juu ya hicho mnachotaka kukijadili.

Tatizo watu kama nyinyi mmenyimwa misingi ya elimu ndio maana hata uwezo wenu w kunakishi hoja ni mdogo na umegubiwa na uongo mwingi na wasi wasi tele.

Sasa turudi kwenye mada ya msingi,hasa kwenye tamko la utukufu.
Unajua level ya elimu ya kiranga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siijui bro wala sitaki kuijua ila katika hili na kuhusu elimu ya mijdala nimemtangulia pakubwa sana.

Na mimi vile vile huijui elimu yangu,wala yeye haijui elimu,bali hakuna haja ya wewe kuijua elimu yangu kadhalika yeye kuijua elimu. Sababu hakuna faida yoyote katika hilo.

Bro elimu haiongopi mzee,kwa wale wanaojua misingi ya elimu.
 
Bro suala la masharti sio mpaka nwe na mamlaka,suala la mashart ni elimu tu maarifa.

Leo mangapi yamekuwa mepesi kwa kufuata masharti ? Leo mangapi yamekuwa magumu kwa kutofta mashart ?

Hakuna jambo lenye utaratibu mzuri lisilo simama bila masharti ?

Bali hakuna mjadala wa kielimu usiofata masharti. Ukiona mtu anazingatia masharti katika mjadala,ujue amekuzidi elimu juu ya hicho mnachotaka kukijadili.

Tatizo watu kama nyinyi mmenyimwa misingi ya elimu ndio maana hata uwezo wenu w kunakishi hoja ni mdogo na umegubiwa na uongo mwingi na wasi wasi tele.

Sasa turudi kwenye mada ya msingi,hasa kwenye tamko la utukufu.
Akikujibu wewe nitag.

Nimegundua jamaa ni mwongo. Amekua obsessed na uongo hadi imemletea tatizo la kisaikolojia. He surely needs a psychic to help him.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom