Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Unaelewa kwamba ukishaanza kujiuliza kama mantiki inafaa au haifai tayari unatumia mantiki hapo?Mantiki ni elimu inayojishughulisha na namna ya utoaji hoja na kuhakiki hoja zenyewe.
Na imesemwa pia mantiki ni fani inayojishughulisha na namna ya kufikiri juu ya kufikiria.
Hii ni kwa maana jambo lisilo kubalika na akili kwao wao halina mantiki yaani halina maana na halifai kufanyiwa kazi.
Kadhalika mantiki,inamfunza mtu namna ya kufupisha hoja ili aeleweke vizuri. Yaani badala ya mtu kusema "Ninakwenda kuoga maji" inamtosha yeye kusema "Ninanda kuoga",na akawa ameeleweka vyema.
Wa ila,mantik ina maana ya kilugha kadhalika ina maana ya kisheria,na hapa nimekupa maana ya kisheria yaani kama wanavyoitafsiri watu wa mantiki.
Ni upi msimamo wangu kuhusu Elimu ya mantiki ?
Msimamo wangu ni kama wale walionitangulia katika ubora,katika elimu,katika maarifa na katika umri pia,ni kwamba haifai kujifunza elimu hii kwani inapelekea mtu kupotea kama walivyopotea wale wa mwanzo katika elimu hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app