CONFIRMED: Kiranga siyo Atheist. Ana pretend tu. Ushahidi huu hapa amejianika mwenyewe

CONFIRMED: Kiranga siyo Atheist. Ana pretend tu. Ushahidi huu hapa amejianika mwenyewe

Katika ulimwengu wa hypertext, quotes, links, post numbers etc,kuandika "mjibu Zurri hoja zake" bila kutoa quote, hyperlink au hata post number ni kielelezo cha uvivu wa kufikiri au kukosa uwezo zaidi kidogo tu ya ya reflex action.
Leo utasema yote ,ila kiukweli umekamatika kiurahisi sana.
 
Kuoasha vyombo ni utakatifu
Kufua nguo ni utakatifu
Hakika nyinyi mtakua kuni katika matanuri ya moto kwa kudanganya watu
 
Wewe wacha kumuingiza kijana wetu kwenye "dagomas" we are atheist na hatuhusiki huko kwenye project za kipumbavu.
Atheist
√wise
√truth seeker
√intergrity
√creativity
√irrational
√facts
Dikson Dawkins
"If you're religion apologists and invited to make a debate with hitchen decline "

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Dikson Dawkins na mwenzake wote vipofu wa akili wa moyo. Sasa ni maajabu nani ataona kosa la mwenzake zaidi ya kusifiana tu.

Yaani watu ambao hawajui hata akili iko wapi,moyo kazi yake nini kujadiliana nao ni kupoteza muda na kuidhulumu elimu.

Waleteni watu wenye akili na maarifa ya kweli tujadiliane nao sio hawa wenye maarifa ya uongo,akili zisizo salama na fikra za kurithishana wapi na wapi katika ulimwengu wa elimu na kuyaelewa mambo kama yalivyo ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo utasema yote ,ila kiukweli umekamatika kiurahisi sana.
Bado hujaweka quote, link wala post number.

Na sijawahi kuwa na nia ya kutokamatika, ningekuwa na nia hiyo nisingepost kitu hapa.

Nia yanguni kujieleza, kwa hiyo kama unafikiri nia yangu ni kutokamatika, inaonekana hunielewi katika jambo la msingi kabisa.
 
Umejiona ni jinsi gani ulivyo mjinga?

Ni sawa na yule anaye jitekenya na kucheka mwenyewe.
Huwezi kuelewa hata ninachomaanisha, kwa sababu huongei lugha ninayoongea mimi.

Na hata utashi wa kuweza kuielewa huna.
 
Huwezi kuelewa hata ninachomaanisha, kwa sababu huongei lugha ninayoongea mimi.

Na hata utashi wa kuweza kuielewa huna.
Kwanza kabla ya yote, haya mabandiko yako yote mawili yana makosa kwa kuwa hayajafuata mpangilio wa kisarufi,na vile vile huwezi kuanza sentensi kwa kutumia kiunganishi.

Rekebisha kisha urudi hapa tuendeleze mjadala.
 
Wapi nilisema maandiko yangu yote hapa yatafuata mpangilio wa kisarufi na sentensi kwa kutumia kiunganishi?

Wapi nilisema sitaandika kwa kutumia binary au hexadecimal code?

6b 77 61 20 6e 69 6e 69 20 75 6e 61 74 61 6b 61 6b 75 6e 69 6c 61 7a 69 6d 69 73 68 61 20 6b 75 61 6e 64 69 6b 61 6b 77 61 20 6d 75 61 6e 64 69 6b 6f 61 6d 62 61 6f 20 73 69 6a 61 73 65 6d 61 20 6e 61 74 61 6b 61 6b 75 75 66 69 6b 69 61 3f
 
Umeelewa lakini nilichokukosoa?
 
Kiranga ni maskini wa fikra utashi wake wa kufikiri umejaa dharau na kuAMINI KATIKA MIFANO ISIYO SAHIHI
Mfano mdogo tu huyu ana amini kamusi ya kiswahili ndio imetafsiri utakatifu wa kiroho ni sawa na kutatisha nguo
Kiranga wewe utakua kuni siku ya hukumu
 
55 6d 65 65 6c 65 77 61 6e 69 6e 61 76 79 6f 6b 75 61 6e 64 69 6b 69 61 20 68 61 70 61 3f
Mpaka hapa inaonesha kuna tukio kubwa lilikutokea maishani mwako ambalo kwa kiasi kikubwa lilichagiza kuharibu mfumo wako mzima wa kupokea taarifa na kuzitafsiri kwa usahihi zaidi.

Unahitaji uangalizi wa hali ya juu na pia unahitaji faraja ya karibu bila hivyo utazidi kupotea.
 
Huko ni zaidi ya mantiki na huwezi kuniambia hata nikikupa miaka na mikaka kwanini nimesema kwanini haifai ? Hiyo nimekupa ziada tu ya faida.

Kwani hata waliopotea waliona wako sahihi na wakaiwekea misingi na kuifata na kuendelea kuhakiki hoja kwa kutumia misingi hiyo.

Hapa nimefikiri zaidi ya wana mantiki wenyewe. Hakuna mwana mantiki awezayo kufikiri mpaka hapo nilipofikiri mimi.

Tuendelee na mjadala.

Sent using Jamii Forums mobile lapp
Nimegundua wewe jamaa una akili sana, Kiranga japo huwa ni vigumu kumshinda katika mijadala kama hii, lakini kwako lazima ajipange vizuri kama akitaka akushinde Kwa hoja.
 
Back
Top Bottom