CONFIRMED: Kiranga siyo Atheist. Ana pretend tu. Ushahidi huu hapa amejianika mwenyewe

CONFIRMED: Kiranga siyo Atheist. Ana pretend tu. Ushahidi huu hapa amejianika mwenyewe

Hahahahaaa na ni vile napambania mwendokasi
Tungekesha...

Hapo ukute Kiranga ni mzee wa kanisa

[emoji252] [emoji479]
Pole sana pambana. Huwa sipendi kujadiliana na watoto wa kike mijadala ya kielimu,huwa napata tabu sana kuchagua lugha laini ili kwenda nae au nao sawa.

Sasa ulivyosema "Jioni njema" nilishukuru sana aisee,kwani umenisaidia pakubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rekebisha hapo
"mtoto wa kike"

[emoji252] [emoji479]
 
Soma artcle
Screenshot_2018-08-02-13-03-13.jpg
Screenshot_2018-08-02-13-03-13.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakatifu wa kutotombana ******* ovyo na kuepuka UKIMWi ili damu ya mtu isiathirike na magonjwa iwe safi kwa mfano.

Nikisema ndoa ni agano takatifu lisilotaka uchafu (infidelity) uchafubutaleta matatizo kwenye ndoa juanzia ya kisaikolojia moaka magonjwa.

Hapo bado namuhitaji Mungu na dini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Umepaniki mpaka umeanza kuandika maneno yasiyo eleweka.
 
Naaaaaaam

Ndugu wanajamvi,

Kuna huyu mjomba aitwaye Kiranga, huwa anasema kuwa hamwamini Mungu.

Msimwamini hata kidogo maana anaigiza aisee.

Juzi nilipandisha uzi jamvini hapa unao husu mrembo Shombe aliyetokea kunihusudu mimi mume wa mtu.

Naona kama ndoto.. Mtoto Shombe Shombe kazama kwangu, kanichagua kati ya wengi.. Nami nina mke - JamiiForums

Kiranga alijitokeza na kunipa ushauri ambao moja kwa moja ni ushauri wa Kimungu. Maneno aliyoyasema Kiranga ni hayo hapo chini kwenye screenshot.

Kiranga ktk ushauri wake huo alisema kuwa, ' NDOA NI AGANO TAKATIFU '.

Sasa kwa hali ya kawaida, ni atheist gani anaamini ktk utakatifu?? Utakatifu huo anauamini kutoka kwa nani?

Ni dhahiri kabisa huyu jamaa anamwamini Mungu maana utakatifu hautoki popote zaidi ya kwa Mungu.

Siku zote anatuigizia hapa, leo kajianika mwenyewe.

View attachment 846447

Sent using Jamii Forums mobile app
....mitihani hupewa wanao amini tu !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiranga anasali kanisani kwetu hana lokote
Kila siku ya ibada ana anguka madhabahuni
 
Naaaaaaam

Ndugu wanajamvi,

Kuna huyu mjomba aitwaye Kiranga, huwa anasema kuwa hamwamini Mungu.

Msimwamini hata kidogo maana anaigiza aisee.

Juzi nilipandisha uzi jamvini hapa unao husu mrembo Shombe aliyetokea kunihusudu mimi mume wa mtu.

Naona kama ndoto.. Mtoto Shombe Shombe kazama kwangu, kanichagua kati ya wengi.. Nami nina mke - JamiiForums

Kiranga alijitokeza na kunipa ushauri ambao moja kwa moja ni ushauri wa Kimungu. Maneno aliyoyasema Kiranga ni hayo hapo chini kwenye screenshot.

Kiranga ktk ushauri wake huo alisema kuwa, ' NDOA NI AGANO TAKATIFU '.

Sasa kwa hali ya kawaida, ni atheist gani anaamini ktk utakatifu?? Utakatifu huo anauamini kutoka kwa nani?

Ni dhahiri kabisa huyu jamaa anamwamini Mungu maana utakatifu hautoki popote zaidi ya kwa Mungu.

Siku zote anatuigizia hapa, leo kajianika mwenyewe.

View attachment 846447

Sent using Jamii Forums mobile app
...mtihani hupewa wanao amini tu !
Qur'an: 9:126.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjibu kwanza Zurri hoja zake ,acha kuruka ruka kama ngedere.
Katika ulimwengu wa hypertext, quotes, links, post numbers etc,kuandika "mjibu Zurri hoja zake" bila kutoa quote, hyperlink au hata post number ni kielelezo cha uvivu wa kufikiri au kukosa uwezo zaidi kidogo tu ya ya reflex action.
 
Back
Top Bottom