Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,152
- 9,206
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiranga jamaa wivu hana ila roho inauma,Ila huyu jamaa Kiranga kakamatia demu mkali sana humu nasomaga katikatoiya mstari kama mara 2 hivi,bro kama ni kweli umekamatia ile kitu hongera sana.
Hahaaa.
Mkuu inaonekana umekwazika..Siyo naweza kuja hapa.
Nilishamuuliza huko alikoitoa hiyo screenshot, akashindwa kunijibu, nikamwambia utakatifu ni neno lenye mzizi wa kutakata, hata nguo tunafua zinatakata, tunaondoa uchafu na madoa bila imani ya Mungu wala msahafu.
Akakimbia mjadala anakuja huku kuanzisha thread kwa jina langu, cheap bullshyt.
Nyege za kutumia jina la Kiranga kuanzisha thread tu!
Mkuu inaonekana umekwazika..
Maana anajitungia yeye au... Ipo maana generalMimi sijui alimaanisha nini anaweza kuja apa akakuuliza utakatifu ni nini ukataja unavyoelewa na yeye akataja kwa maana aliyokuwa akimaanisha ndipo anapowakamatiaga watu hapo
Wewe mbona hujadiliani na mimi mwenyewe wakati mimi nipo hapa?
Kweli kuna vitabu ukisoma utagundua maisha yako yote ulikua mjinga... Mpaka Leo kuna watu hawaamini kuwa binadamu ni wanyama tuu kama wanyama wengineI appreciate that.
Siku nikija kutoa lecture ya kuelezea Claude Levi-Strauss' "Myth and Meaning: Cracking the Code of Culture" mlangoni itabidi tuweke mtihani wa kuingia, maana kuna watu hawana sophistication beyond lowest common denominator of basic public taste.
Yuck!
Mkuu,Mjina Mrefu
Umekimbia mjadala kule nilipokubana kuhusu definition ya utakatifu na kukuelezea hata nguo tunafua zinatakata bila kuhitaji msahafu wala Mungu.
Umekimbia, hujajibu hoja kule, umekimbilia kudaka screenshot na kuileta huku.
I don't appreciate that shyt.
That shyt is wack.
Get off my dilsnick already.
Walishagundua ukianzisha thread kwa jina la Kiranga inapata wachangiaji wengi, hukumbuki mganga wa kienyeji bwana Mshana Jr alianzisha thread kwa jina lako ikaenda kurasa nyingi sana ndani ya muda mfupi?, ujanja ndio huo.Hawa guluguja ngumbaru hawana wattage ya kuweza kunikwaza, natimiza tu reciprocity principle, mjinga mpige bila staha kwa ujinga wake.
Nyerere aliwahi kusema "maswali ya kijinga yanapata majibu ya kijinga".
Sasa mtu tumejadiliana kwenye thread huko, nikamuuliza a define utakatifu, akajiuma uma, nikamuonesha kuongelea utakatifu si lazima uwe katika muktadha wa kuamini dini wala Mungu, akakimbia mjadala huko.
Akaja hapa kuanzisha thread kwa jina la Kiranga.
Kama si nyege ni nini?
Na natumia maneno kwa maana zote za kamusi na mizizi ya maneno, kwa hiyo naomba msinitafsiri kwa tafsiri finyu.
Unataka kamusi?Mkuu,
Ni kwasababu umetoa maana kwa kujitungia wewe mwenyewe.
Ni kamusi gani iliyotoa maana ya neno km yako uliyoitoa?
Unapokasirika inadhihirisha wazi uongo wako umejulikana...
Sent using Jamii Forums mobile app
Walishagundua ukianzisha thread kwa jina la Kiranga inapata wachangiaji wengi, hukumbuki mganga wa kienyeji bwana Mshana Jr alianzisha thread kwa jina lako ikaenda kurasa nyingi sana ndani ya muda mfupi?, ujanja ndio huo.
lol! Umenichekesha sana mkuu.Kweli kuna vitabu ukisoma utagundua maisha yako yote ulikua mjinga... Mpaka Leo kuna watu hawaamini kuwa binadamu ni wanyama tuu kama wanyama wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiranga sikuogopi mkuu,Wwewe mbona hujadiliani na mimi mwenyewe wakati mimi nipo hapa?
Unaogopa nini?
Umetaka Kamusi, nimekuwekea hapo juu, umeona?Kiranga sikuogopi mkuu,
I was off this thread ndo nimerudi na reply comments za watu.
Sent using Jamii Forums mobile app