Enlightened one
JF-Expert Member
- Jun 20, 2019
- 349
- 191
Etymology is the study of words by tracking their origin and how they've changed throughout historyNimekujibu mpaka kukupa ukurasa wa kamusi. Kwa etymology.
Unaelewa etymology ni nini?
Wewe nimekutaka uthibitishe kwamba huyo Mungu ambaye unadai utakatifu wa ndoa unatoka kwake yupo.
Umeshindwa.
Huna hoja.
Yani hata baada ya kukulazimisha utafute maana ya etymology unauliza swali hili?Etymology is the study of words by tracking their origin and how they've changed throughout history
anyway usikimbie swali ww hujanipa maana ya neno HOLY[takatifu] bali umenipa maana ya clean[takata]
toa maana ya neno HOLY ndio tuendelee
[emoji117]Nilifikiri kiranga ni mtu mwenye IQ kubwa,kumbe ni scarecrow Tu ,aliye na ujuzi mkubwa wa kudodge na kukimbia maswali aliyo ulizwa kwa kupachika maswali yake yasiyo maana{e.g mantiki ni nini,Etymology ni nini}Yani hata baada ya kukulazimisha utafute maana ya etymology unauliza swali hili?
Unaelewa etymology nini?
Au ume copy paste tu?
[emoji117]Nilifikiri kiranga ni mtu mwenye IQ kubwa,kumbe ni scarecrow Tu ,aliye na ujuzi mkubwa wa kudodge na kukimbia maswali aliyo ulizwa kwa kupachika maswali yake yasiyo maana{e.g mantiki ni nini,Etymology ni nini}
ambayo hata akijibiwa anaendelea na ubishi bila kujibu previous questions
kiranga is a non reasoning fool,imbecile,idiot[emoji22]
kama mm muongo jibu swali langu nq sio kuongeza swali juu ya swali [emoji10]
Kwaiyo na MTAKATIFU PAPA BENEDICT 16 nae ni Mungu???Bro katika lugha kuna maneno maalumu kwa wakati maalumu na kwa kazi maalumu.
Ni kweli mzizi wa tamko takatifu ni kutakata au kutakasika. Ila tamko takatifu ni tamko hasa kwa lengo fulani.
Sasa umetolea mfano wa nguo. Embu tunga sentensi ijumuishayo neno nguo na takamko takatifu ili ilete maana.
Tanbihi,hakikisha sifa takatifu iende kwenye nguo.
Hivi nguo ikitakata husemwa ni takatifu ? Bro ! Unasafari ndefu ya maalumati.
Nasubiri sentensi.
Na papa wa kanisa la Roma nae ni Mungu? Mbona wanamwita mtakatifu?Huyo Buddha ambaye wanamuita Mtakatifu, ndiye wanamuamini km Mungu wao na ndo maana wanamuita Mtakatifu.
Anyway, ungejibu swali kwa kutunga hiyo sentence uliyoambiwa
Pia ujue tu kwamba, neno Takatifu lina multiple meanings na kila moja hutumika ktk mazingira yake kipragmatiki.
Maana za neno Takatifu ni pamoja na : clean, clear, glorious, holy, pure, saint, sanctified.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji117]Nilifikiri kiranga ni mtu mwenye IQ kubwa,kumbe ni scarecrow Tu ,aliye na ujuzi mkubwa wa kudodge na kukimbia maswali aliyo ulizwa kwa kupachika maswali yake yasiyo maana{e.g mantiki ni nini,Etymology ni nini}
ambayo hata akijibiwa anaendelea na ubishi bila kujibu previous questions
kiranga is a non reasoning fool,imbecile,idiot[emoji22]
kama mm muongo jibu swali langu nq sio kuongeza swali juu ya swali [emoji10]
"Ni agano takatifu ". Tupate tafsiri ya neno agano ili tujue kama takatifu inayozungumzwa hapa Ni takatifu ya Kimungu/Kiroho. Maana hapa Mtoa mada anazungumzia takatifu wa kiroho (hollyness) na kiranga anazungumzia utakatifu wa vitu (cleanness) japo ameamua kupindisha kwa maksudi.Naaaaaaam
Ndugu wanajamvi,
Kuna huyu mjomba aitwaye Kiranga, huwa anasema kuwa hamwamini Mungu.
Msimwamini hata kidogo maana anaigiza aisee.
Juzi nilipandisha uzi jamvini hapa unao husu mrembo Shombe aliyetokea kunihusudu mimi mume wa mtu.
Naona kama ndoto.. Mtoto Shombe Shombe kazama kwangu, kanichagua kati ya wengi.. Nami nina mke - JamiiForums
Kiranga alijitokeza na kunipa ushauri ambao moja kwa moja ni ushauri wa Kimungu. Maneno aliyoyasema Kiranga ni hayo hapo chini kwenye screenshot.
Kiranga ktk ushauri wake huo alisema kuwa, ' NDOA NI AGANO TAKATIFU '.
Sasa kwa hali ya kawaida, ni atheist gani anaamini ktk utakatifu?? Utakatifu huo anauamini kutoka kwa nani?
Ni dhahiri kabisa huyu jamaa anamwamini Mungu maana utakatifu hautoki popote zaidi ya kwa Mungu.
Siku zote anatuigizia hapa, leo kajianika mwenyewe.
View attachment 846447
Sent using Jamii Forums mobile app
Neno Takatifu hutumika katika diniKwaiyo na MTAKATIFU PAPA BENEDICT 16 nae ni Mungu???
Kiranga
RC wanaamini papa ni mungu aliye vaa mwili ndio maana wanamuita HolyNa papa wa kanisa la Roma nae ni Mungu? Mbona wanamwita mtakatifu?
Kiranga
Kwaiyo na MTAKATIFU PAPA BENEDICT 16 nae ni Mungu???
Kiranga
Niliwahi kukupa kazi ya kutunga sentensi ambayo kuna tamko "takatifu" na kuna nguo,ikiwa takatifu ni sifa inayorudi kwenye nguo. Hili swali hukulijibu na hauta weza kujibu.Umeshindwa au umekataa kuona mzizzi wa takatifu kutoka katika takata, na kwamba takata si habari ya Mungu tu, hata nguo inatakata.
Mimi sijakuuliza maana ya takata nimeuliza TakatifuTatizo unafikirifikiri tu bila mpango.
Habari nzima ya IQ ni a big fad.
Go read Jared Diamond's Pulitzer prize winning book where he writes on this subject katika "Guns, Germs and Steel: The Fates of Human Societies"
Unaelewa hilo?
Umeshindwa au umekataa kuona mzizzi wa takatifu kutoka katika takata, na kwamba takata si habari ya Mungu tu, hata nguo inatakata.
Huyo Mungu unayemsema hata huwezi kuthibitisha yupo.
Huna hoja ya kujadiliana nami.
Na kwa vile ushaanza matusi yasiyo na msingi wala tija, badala ya kukutukana pia, nakuweka ignore list.
Kuanzia hapa sitaona unachoandika.
Ww unatafuta kick tuMi ndiye atheist pure
Hawa watu wamejitoa uwezo wa kufikiri wengine.
Ww unatafuta kick tu
Nimegundua wewe jamaa una akili sana, Kiranga japo huwa ni vigumu kumshinda katika mijadala kama hii, lakini kwako lazima ajipange vizuri kama akitaka akushinde Kwa hoja.
Hawa watu wamejitoa uwezo wa kufikiri wengine.
Kwan kuwa na msimamo tofaut na wewe ni kick braza... Au atheist haujajua maana yake