Mlipeni Sangoma wenu mapema..hata Manchester mbovu iliifunga arsenal 8. Kama Simba hii unaona so bora ndo itaenda kuitoa Nkana
Hata mm natamani Mkuu ila tatizo rangi ya jezi za Nkana FC nazo ni mikosi mitupu.Ngoja niandae jezi yangu ya Nkana kabisa.
Wengemchukua Kessy, wewe utakua huna macho ya mpira.
Huo ni uvivu wa kufikiri. Wangekuwana wachezaji wazuri basi kessy asingepata namba. Lakini pia wangekuwa na wachezaji wazuri ukiisoma link hii ambayo inaonyesha wana wachezaji wawili tu ndio walioitwa Zambia National Team
Zambia : Zambia National Football team head coach Names Squad
Kwenye hicho Kikosi cha Chipolopolo mbona sioni jina la Chama au Triple C au macho yangu?
Mwaka 2015-16 alikuwa Chama..Unamjua makamu kapteni wa taifa la Zambia?
wanaforce kingi.Kwani mwezi wa 6 mwaka 2018 Cloutus Chama alikuwa tayari ni mchezaji wa Simba? Nadhani alikuwa bado yuko Zambia. Hivyo kama aliitwa tungeliona jina lake. Ni hayo tu mkuu
Hizi ni I'd tuu zinaficha mambo mengi... unaweza kujiita Messi.. lakini hata kupiga danadana mbili huwezi!... Mtu unajiita "rashford lingard "!...ina maana umeanza kuangalia mpira jana tuu!... hata ukibisha sawa tuuu!..."jina lako linasadifu yaliyomo"
Siku nyingine uweke akiba ya maneno 🐸🐸🐸🐸Magufuli alisema Simba hawana timu ya Kufuzu.
Huwezi mtoa Nkana FC na kikosi chenu kilicho nyuma kwa alama 5 dhidi ya Yanga OmbaOmba.
Hiyo mvua yao ilinyesha?Mlipeni Sangoma wenu mapema..
Maana mkimzingua tu Nkana FC wanawadondoshea mvua ya Mabao..
Jambo moja ambalo nina uhakika nalo kabisa ni kuwa mnyama huyu lazima atimbe hatua za makundi, jua liwake mvua inyeshe simba lunyasi yuleeeeeeeeeeee kwenye hatua ya makundi, kutokea hapo ndio tutajua kifuatacho ITV.
Hii jezi umegawa au umechoma moto? Kama bado unayo ifanye dekio.Ngoja niandae jezi yangu ya Nkana kabisa.
Binti umepotea. Vipi Nkana ipi?Mlipeni Sangoma wenu mapema..
Maana mkimzingua tu Nkana FC wanawadondoshea mvua ya Mabao..
Binti nimekumiss. Ulisema!!!!Magufuli alisema Simba hawana timu ya Kufuzu.
Huwezi mtoa Nkana FC na kikosi chenu kilicho nyuma kwa alama 5 dhidi ya Yanga OmbaOmba.
Labda ya mavi?Hiyo mvua yao ilinyesha?
Siamini kama kile kipigo walichopata Nkana ndio kimewapeleka mahasimu uhamishoni na mafichoni.Labda ya mavi?
Wanjiku haonekani.Yupo kwenye siku zake. Akikauka atarudi.
Nyeeeeeee nyeeeeee nyeeeeMagufuli alisema Simba hawana timu ya Kufuzu.
Huwezi mtoa Nkana FC na kikosi chenu kilicho nyuma kwa alama 5 dhidi ya Yanga OmbaOmba.
Tuma salamuWe!!!we!!! kule zambia ndio soka lilipozaliwa afrika. Chama angekua kiboko kuliko aliowaacha kule wasingekubali kuja kucheza mchangani huku...kule kuna mijichama iliyokubuhu