Mueleweshe kwa andiko linaloonesha Yesu alizaliwa lini na kufa lini, maana wapo wengi wasiojua hili na hudhani kuwa Yesu alizaliwa desemba (Christmas) na kufa April (pasaka) wakati hizo ni sherehe zilizokuwepo hata kabla Kristo hajazaliwa.Huwezi kuwa mkristu afu useme Yesu alikufa desemba... Sema tu ni mfuasi wa Muddy....
Inawezekana ni pepo!Yes mm ni mkiristo ila am confused
Mkuu achana na wanywa viroba utaumiza kichwa bureNakushauri uvisome vizuri hivyo vitabu kabla ya kuandika uzi. December 25 sio kwamba ndio alizaliwa?
="Differential Equations, post: 21152364, member: 405241"]Wale wenye imani ya dini ya wakristo naomba mnisaidie vitabu vya dini vinatuambia yesu alikufa December ndo maana wakapanga maadhimisho ya kufa kwake.Wale wenye imani ya dini ya wakristo naomba mnisaidie vitabu vya dini vinatuambia yesu alikufa December ndo maana wakapanga maadhimisho ya kufa kwake.
Baada ya siku tatu alifufuka na kurejea mbinguni maana yake siku tatu baada ya Christmas ni December 28th.
Sasa iweje pasaka iwe maadhimisho ya kufufuka kwa yesu??
Je ilikuwaje mtu afe December afufuke baada ya siku 3 aibukie April???
Welcome for your contributions so that my mind can be conscioutized.
HAPPY TUESDAY, 16th.
We sio mzima kabisa..christmas ni kuzaliwa kwa Yesu sio kufa..Wale wenye imani ya dini ya wakristo naomba mnisaidie vitabu vya dini vinatuambia yesu alikufa December ndo maana wakapanga maadhimisho ya kufa kwake.
Baada ya siku tatu alifufuka na kurejea mbinguni maana yake siku tatu baada ya Christmas ni December 28th.
Sasa iweje pasaka iwe maadhimisho ya kufufuka kwa yesu??
Je ilikuwaje mtu afe December afufuke baada ya siku 3 aibukie April???
Welcome for your contributions so that my mind can be conscioutized.
HAPPY TUESDAY, 16th.
Alikufa na wayahudi. Mbona wayahudi bado wanaishi?...alikufa na wayahudi
Dec.25 ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kufa kasome vitabu vya biblia usimezeshwe maneno!!!Wale wenye imani ya dini ya wakristo naomba mnisaidie vitabu vya dini vinatuambia yesu alikufa December ndo maana wakapanga maadhimisho ya kufa kwake.
Baada ya siku tatu alifufuka na kurejea mbinguni maana yake siku tatu baada ya Christmas ni December 28th.
Sasa iweje pasaka iwe maadhimisho ya kufufuka kwa yesu??
Je ilikuwaje mtu afe December afufuke baada ya siku 3 aibukie April???
Welcome for your contributions so that my mind can be conscioutized.
HAPPY TUESDAY, 16th.
VizuriDifferential Equations, wakristo tunaadhimisha kuzaliwa kwa yesu mwez december na sio kufa. Kufa na kufufuka ni pasaka mara nyngne inaweza angukia hata mwez wa tatu sio lazma wa nne. Aliuliwa ijumaa ndio maana kunakuwaga na ijumaa kuu na kufufuka ni jumapil ndio pasaka yenyewe. Na hayo ni maadhimisho tu sio tarehe wala mwez alokufa.