Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,036
- 9,331
Tumetolewa. Jamaa wametufunga goli dk ya 90.Rekebisha heading, Serengeti boys wametolewa!
Kumbe ndiye kocha wa Serengeti boyz, nilikuwa sijui, sawa pongezi nyingi zimfuate popote alipo!Pongezi nyingi zaidi zimuendee Nape Moses Nnauye.
Bora hata weweSerengeti boys. Wamefuzu.. Tizama picha hizi kwa makiniView attachment 411000 View attachment 411001
MAJONZI...Serengeti Boys imetolewa, awali tulipata taarifa kwamba imefuzu na mitandao yote ya LiVE SCORE kama unavyoona ukiwemo wa Caf ilionyesha TUMEFUZU, Pia TFF walisema tumefuzu lakini mwisho tena kumekuwa na mabadiliko ya taarifa kwa Wacongo wamefunga bao katika dakika ya 90+2 katika dakika 4 za nyongeza. TUWAOMBE RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE ULIOJITOKEZAMwenye ukweli aje aseme
MAJONZI...Serengeti Boys imetolewa, awali tulipata taarifa kwamba imefuzu na mitandao yote ya LiVE SCORE kama unavyoona ukiwemo wa Caf ilionyesha TUMEFUZU, Pia TFF walisema tumefuzu lakini mwisho tena kumekuwa na mabadiliko ya taarifa kwa Wacongo wamefunga bao katika dakika ya 90+2 katika dakika 4 za nyongeza. TUWAOMBE RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE ULIOJITOKEZAKwa hiyo tumetolewa au?
Ndo maana yakeKwa hiyo tumetolewa au?
Usiogope mkuu, matokeo yote yapo hapa:
CAF African Championship U17 2017 Results - Africa Soccer Live
Tumeshafuzu kwenye fainali za mwakani...
Mimi Mwenyewe wanajichanganya tu Mkuu, ukipata matokea kamili pm tafadhali.!
Simba Na Yanga sawa Na CCM Na ChademaYaani simba na yanga wamewafunika hawa mashujaa wetu.
Vip matokeo?