Congo (1) vs Serengeti Boys (0): Serengeti Boys yashindwa Kufuzu Fainali za Afrika

upload_2016-10-2_20-33-24.png
 
Yaani simba na yanga wamewafunika hawa mashujaa wetu.

Vip matokeo?
 
Aya Magoli ya Jioni Yametawala sana wiki hii Naona Arsenal Naye kapata Goli la Usiku
 
Mwenye ukweli aje aseme
MAJONZI...Serengeti Boys imetolewa, awali tulipata taarifa kwamba imefuzu na mitandao yote ya LiVE SCORE kama unavyoona ukiwemo wa Caf ilionyesha TUMEFUZU, Pia TFF walisema tumefuzu lakini mwisho tena kumekuwa na mabadiliko ya taarifa kwa Wacongo wamefunga bao katika dakika ya 90+2 katika dakika 4 za nyongeza. TUWAOMBE RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE ULIOJITOKEZA
 
Kwa hiyo tumetolewa au?

Back
Top Bottom