Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtangazaji karekebisha, TUMEFUZU baada ya kutoka suluhu ya bila bilaDah tumepigwa kimoja mwishooni. TUMETOLEWA
Naona kwa hawa Tff wako makini wasije kurubuniwa tu na Yanga,Simba au Azam mwishowe wakaua vipaji vyao bora haya waende hata Mbao Fc wacheze kila gameBaada ya mwaka hao watoto watakapo potelewa hawajulikana
watangazaji wetu Wa ktz ndo wanatuchanganya.Hamueleweki humuuuuu
Usiogope mkuu, matokeo yote yapo hapa:Hamueleweki humuuuuu
Wewe ni mtz kweli?Wamefungwa 1-0 wametolewa.
Tupe chanzo cha habari?Wamefungwa 1-0 wametolewa.