Congo (1) vs Serengeti Boys (0): Serengeti Boys yashindwa Kufuzu Fainali za Afrika

Congo (1) vs Serengeti Boys (0): Serengeti Boys yashindwa Kufuzu Fainali za Afrika

Serengeti boys. Wamefuzu.. Tizama picha hizi kwa makini
wp_ss_20161002_0003.png
wp_ss_20161002_0004.png
 
Shafii Dauda: Mpira umemalizika na Serengeti Boys wanafanikiwa kufuzu kucheza AFCON U17 2017.
 
Mitandao yote inayohusika na uonyeshaji mechi kwa kuandika LiveScore iliandika kwamba timu ya taifa ya vijana, Serengeti Boys imefuzu kucheza Kombe la Mataifa Afrika itakayofanyika nchini Madagascar, kesho.

Lakini baadaye kukawa na taarifa kwamba Serengeti Boys imeng’olewa baada ya kufungwa bao katika dakika ya 90+2.

Lakini baadaye tuliwapata viongozi wa TFF, Katibu Mkuu, Mwesigwa Selestine amethibitisha Serengeti Boys imefungwa kwa bao hilo 1-0.

"Mtuwie radhi, hata sisi mwanzo tuliambiwa matokeo ni bila bila, hata mitandao yote kweli ilionyesha bilabila. Lakini mwisho tumepewa taarifa ambazo ni za uhakika kwamba tumefungwa kwa bao moja, dakika nne za nyongeza," alisema Mwesigwa.
 
du away watangazaji wetu wanatutia pressure mara tumefungwa dkk90 kumbe hawana information nzuri.
 
Baada ya mwaka hao watoto watakapo potelewa hawajulikana
 
Baada ya mwaka hao watoto watakapo potelewa hawajulikana
Naona kwa hawa Tff wako makini wasije kurubuniwa tu na Yanga,Simba au Azam mwishowe wakaua vipaji vyao bora haya waende hata Mbao Fc wacheze kila game
 
Back
Top Bottom