Congo DRC, imekuwa kubwa jinga, Tanzania tusijiingize!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
1740114758112.png

Congo DRC wamekuwa kubwa jinga kwa muda mrefu.
Nchi haina umoja
Nchi ni tajiri sana
Nchi haina jeshi hata la watu laki moja
Na majenerali wa Congo ni wa kukata viuno tu, hawawezi hata kujitetea mbele ya vita.
Nchi nzima hii wao ni mayenu tu na kukata viuno

Cha ajabu huyu Rais wao Tsishekedi hajui aanzie wapi kukabiliana na wapinzani wake toka Rwanda.
PK anamnyanyasa kubwa jinga, DRC -Congo.
Hili kubwa jinga limebaki kulia lia kuomba msaada wa kijeshi toka kokote duniane, wao furaha yao ni mayenu tu.

DRC Congo inakera, tena sana.
Ingekuwa ni hapa Tz , hata mimi na umri wangu ningeenda fronti, kama miaka ya kumg'oa Nduli Idi Amin.

Kweli nchi bila umoja inanyanyasika.
 
View attachment 3243715

Aliudharau mwiba sasa mguu umeota tende.
 
Nchi yenye wajinga wengi Afrika ni DRC

Linchi ligawanywe tu na majirani zake

Angola wachukue chao,
Rwanda wachukue chao,
Burundi wachukue chao,
Brazaville wachukue chao,
Uganda wachukue chao,
Tanzania wachukue chao

Nchi haijiwezi
Umenikumbusha mabali sana mkuu. Kuna kipindi nchi za Kenya, Uganda na Tanzania kulianzishwa mchakato wa kuliunganisha Eneo lote hilo la nchi tatu liwe ni nchi moja na Rais mmoja. Kimbembe kilichojitokeza ni swali Nani atakuwa Nani? i.e. Nani atakuwa Rais? Je, ni Mzee Jomokenyata(rais wa Kenya), Obote(rais wa Uganda) au ni Mwl. Julius Kambarage Nyerere( Rais wa Tanzania)?? Nani atakuwa PM, ........
 
Congo DRC ni wateja wazuri wa bandari salama. Tusipojiingiza kwenye migogoro yao basi, machafuko yakakithiri, kukawa hakuingiliki basi tegemea yafuatayo:
1. Wamiliki wa malori wengi watashindwa lipa mikopo yao.
2. Bei za malori ndani ya nchi zitashuka as malori mengi yanayoenda nje ya nchi yatakuwa forced kufanya shughuli za ndani.
3. Madereva wengi na wasaidizi wao watakosa ajira, mnyororo wao ni mrefu sana.
4. Bandali salama itakosa mapato ya mizigo ya Congo DRC.
5. Clearing and Fowarding agents watakosa deals za kuwaweka mjini.
6. Madereva wa transit watakosa ajira.
7. Sekta ya ujenzi itadorora sana, hardwoods tunategemea sana toka Congo DRC.
Etc
 
Ingekuwa ni hapa Tz , hata mimi na umri wangu ningeenda fronti, kama miaka ya kumg'oa Nduli Idi Amin.

Kweli nchi bila umoja inanyanyasika.
Kongo wamekwama sababu ya corruption na nepotism, haya ni miongoni mwa mambo yanayoondoa umoja kwenye taifa.

Kelele zinazosikika nchini kila siku mara abdul, mara mama nani, tusipobadili mwelekeo kama taifa tutajikuta tumekwama sawa na Kongo.
 
Congo DRC ni wateja wazuri wa bandari salama. Tusipojiingiza kwenye migogoro yao basi, machafuko yakakithiri, kukawa hakuingiliki basi tegemea yafuatayo:
1. Wamiliki wa malori wengi watashindwa lipa mikopo yao.
2. Bei za malori ndani ya nchi zitashuka as malori mengi yanayoenda nje ya nchi yatakuwa forced kufanya shughuli za ndani.
3. Madereva wengi na wasaidizi wao watakosa ajira, mnyororo wao ni mrefu sana.
4. Bandali salama itakosa mapato ya mizigo ya Congo DRC.
5. Clearing and Fowarding agents watakosa deals za kuwaweka mjini.
6. Madereva wa transit watakosa ajira.
7. Sekta ya ujenzi itadorora sana, hardwoods tunategemea sana toka Congo DRC.
Etc
Yeyote atakyekuwepo Congo DRC atatumia tu Bandari Salama.
East Congo bado biashara yao itapitia hapa kwetu.
 
View attachment 3243715
Congo DRC wamekuwa kubwa jinga kwa muda mrefu.
Nchi haina umoja
Nchi ni tajiri sana
Nchi haina jeshi hata la watu laki moja
Na majenerali wa Congo ni wa kukata viuno tu, hawawezi hata kujitetea mbele ya vita.
Nchi nzima hii wao ni mayenu tu na kukata viuno

Cha ajabu huyu Rais wao Tsishekedi hajui aanzie wapi kukabiliana na wapinzani wake toka Rwanda.
PK anamnyanyasa kubwa jinga, DRC -Congo.
Hili kubwa jinga limebaki kulia lia kuomba msaada wa kijeshi toka kokote duniane, wao furaha yao ni mayenu tu.

DRC Congo inakera, tena sana.
Ingekuwa ni hapa Tz , hata mimi na umri wangu ningeenda fronti, kama miaka ya kumg'oa Nduli Idi Amin.

Kweli nchi bila umoja inanyanyasika.
Kweli kubwa jinga hili. Mara waseme kagame, mara m23, mara kabila. Sasawanasema tatizo ni waswahili. 🤣😂
 
View attachment 3243715
Congo DRC wamekuwa kubwa jinga kwa muda mrefu.
Nchi haina umoja
Nchi ni tajiri sana
Nchi haina jeshi hata la watu laki moja
Na majenerali wa Congo ni wa kukata viuno tu, hawawezi hata kujitetea mbele ya vita.
Nchi nzima hii wao ni mayenu tu na kukata viuno

Cha ajabu huyu Rais wao Tsishekedi hajui aanzie wapi kukabiliana na wapinzani wake toka Rwanda.
PK anamnyanyasa kubwa jinga, DRC -Congo.
Hili kubwa jinga limebaki kulia lia kuomba msaada wa kijeshi toka kokote duniane, wao furaha yao ni mayenu tu.

DRC Congo inakera, tena sana.
Ingekuwa ni hapa Tz , hata mimi na umri wangu ningeenda fronti, kama miaka ya kumg'oa Nduli Idi Amin.

Kweli nchi bila umoja inanyanyasika.
DRC is a failed state.

Utawala uliopo huko upo dhaifu Sana.
Jeshi la Ulinzi la nchi hiyo pia lipo dhaifu Sana kupita kiasi.

Jeshi la DRC lipo uchi wa mnyama kwa Utawala wa Rwanda.
Kuna uasi wa chini chini usiokwisha ndani ya Jeshi la DRC.

Wanajeshi wengi sana wa DRC pia ni Wapiganaji wa Siri wa M23.

Viongozi wengi wa Serikali ya DRC pia ni Mawakala wa Siri wa Utawala wa Rwanda na Vikosi vya Waasi wa M23.

Try to imagine: General Kabarebe aliwahi kuwa Mkuu wa Majeshi (CDF) wa nchi hiyo ya DRC, lakini baadaye Mwanajeshi huyo alihama nchi na kwenda kuwa Mkuu wa Majeshi (CDF) wa nchi ya Rwanda.
 
View attachment 3243715
Congo DRC wamekuwa kubwa jinga kwa muda mrefu.
Nchi haina umoja
Nchi ni tajiri sana
Nchi haina jeshi hata la watu laki moja
Na majenerali wa Congo ni wa kukata viuno tu, hawawezi hata kujitetea mbele ya vita.
Nchi nzima hii wao ni mayenu tu na kukata viuno

Cha ajabu huyu Rais wao Tsishekedi hajui aanzie wapi kukabiliana na wapinzani wake toka Rwanda.
PK anamnyanyasa kubwa jinga, DRC -Congo.
Hili kubwa jinga limebaki kulia lia kuomba msaada wa kijeshi toka kokote duniane, wao furaha yao ni mayenu tu.

DRC Congo inakera, tena sana.
Ingekuwa ni hapa Tz , hata mimi na umri wangu ningeenda fronti, kama miaka ya kumg'oa Nduli Idi Amin.

Kweli nchi bila umoja inanyanyasika.
Mkuu mbona unaongea uwongo DRC wale ni binadamu kama walioko hapa Tanzania na, binadamu wote ni sawa, kule kuna wadogo zako wakike na wakiume wanakufa sababu yakukosa mtu wakujitolea kama wewe kwenda kuwapigania... Kama unania nenda sasa kakae mtasi wa mbele kuliko kuomba vita ambayo hutaiweza
 
Kongo unahitaji serikali ya Majimbo ... Haiwezekani maeneno Tajiri yapo mbali sana na hakuna maendeleo lakini Kinshasa inatajirika na kupata maendeleo.. Congo DRC inahitaji utawala style ya USA kila jimbo kujitegemea linchi likubwa sana
 
Congo DRC ni wateja wazuri wa bandari salama. Tusipojiingiza kwenye migogoro yao basi, machafuko yakakithiri, kukawa hakuingiliki basi tegemea yafuatayo:
1. Wamiliki wa malori wengi watashindwa lipa mikopo yao.
2. Bei za malori ndani ya nchi zitashuka as malori mengi yanayoenda nje ya nchi yatakuwa forced kufanya shughuli za ndani.
3. Madereva wengi na wasaidizi wao watakosa ajira, mnyororo wao ni mrefu sana.
4. Bandali salama itakosa mapato ya mizigo ya Congo DRC.
5. Clearing and Fowarding agents watakosa deals za kuwaweka mjini.
6. Madereva wa transit watakosa ajira.
7. Sekta ya ujenzi itadorora sana, hardwoods tunategemea sana toka Congo DRC.
Etc
Imagine bandari Salama inavyoitegemea DRC ila Tz ipo imelala unono😀😀😀 mteja wake mkubwa hapo bandarini anatomaswatomaswa!!!
 
Tz tukubali tumepoteza ushawishi na mbinu tumekalia PROPAGANDA ZA MISSION ZA MWAKA 47.Na watoto wetu wenyewe UG, RW na BU. Wameanza zereu za wazi wazi maana wanatuona kama kibabu kilichojichokea.

Nchi iliyokuwa kimbilio leo anaachwa anapewa Rwanda😀😀😀.Lile swala la Msumbiji kutoa tenda kwa RW lilikuwa tusi kubwa kidiplomasia na kimedani.

📌📌📌Tubadilike tuachane na sera za ukombozi wa PAN- AFRICA NA mambo kama hayo.Dunia ya leo watu wanataka kujua msimamo wako ni upi mambo ya vuguvugu yanatuonyeshea hatupo serious!!!

Kama tusipobadilika hawa watu wa BAHIMA EMPIRE.Will spread mpaka huku.Its not safe anymore ukizingatia mtoto wa M7 haeleweki hatabiriki,Kagame nae vilevile.
 
Kongo unahitaji serikali ya Majimbo ... Haiwezekani maeneno Tajiri yapo mbali sana na hakuna maendeleo lakini Kinshasa inatajirika na kupata maendeleo.. Congo DRC inahitaji utawala style ya USA kila jimbo kujitegemea linchi likubwa sana
Mbona hata Sasa hivi DR Congo kuna Serikali za Majimbo.

Tatizo la DR Congo siyo kukosekana kwa Serikali za Majimbo, bali tatizo ni KUKOSEKANA KWA WATU WENYE AKILI NZURI ZA KUWEZA KUWAONGOZA VIZURI WATU WENGINE. Tatizo hili lipo karibia katika nchi zote kabisa za Afrika.
Endapo kama kungekuwa na Watu au Viongozi wa nchi wenye upeo mkubwa, wenye akili nzuri kabisa ya Kiuongozi, Basi DRC na Afrika yote kabisa kwa ujumla wake pangekuwa Mahali pazuri zaidi pa kuishi hapa duniani.
Afrika inakufa kwa sababu kuna Watawala Waovu na wasio na akili nzuri ambao Wamekuwa Wakiwatawala Watu badala ya Kuwaongoza.

Kumbuka kauli hii ya Rais wa zamani wa nchi ya Afrika Kusini enzi za Utawala wa Ubaguzi wa rangi Bw. Pieter W. Botha aliyesema kwamba "Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as White people.They are still under the process of becoming the complete human beings."
 
Back
Top Bottom