Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,755
- 1,939
Sasa inakula kwao.Kubwa Jinga badala ya kujitajirisha, angeorganise jeshi lenye mafunzo idadi ya laki moja tu, PK asingemnyanyasa kama anavyofanywa sasa.
Tatizo waCongo starehe nyingi na hawako serious na kitu chochote.