Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Kubwa Jinga kweli kweli!Nchi yenye wajinga wengi Afrika ni DRC
Linchi ligawanywe tu na majirani zake
Angola wachukue chao,
Rwanda wachukue chao,
Burundi wachukue chao,
Brazaville wachukue chao,
Uganda wachukue chao,
Tanzania wachukue chao
Nchi haijiwezi
Aliudharau mwiba sasa mguu umeota tende.View attachment 3243715
Congo DRC wamekuwa kubwa jinga kwa muda mrefu.
Nchi haina umoja
Nchi ni tajiri sana
Nchi haina jeshi hata la watu laki moja
Na majenerali wa Congo ni wa kukata viuno tu, hawawezi hata kujitetea mbele ya vita.
Nchi nzima hii wao ni mayenu tu na kukata viuno
Cha ajabu huyu Rais wao Tsishekedi hajui aanzie wapi kukabiliana na wapinzani wake toka Rwanda.
PK anamnyanyasa kubwa jinga, DRC -Congo.
Hili kubwa jinga limebaki kulia lia kuomba msaada wa kijeshi toka kokote duniane, wao furaha yao ni mayenu tu.
DRC Congo inakera, tena sana.
Ingekuwa ni hapa Tz , hata mimi na umri wangu ningeenda fronti, kama miaka ya kumg'oa Nduli Idi Amin.
Kweli nchi bila umoja inanyanyasika.
Umenikumbusha mabali sana mkuu. Kuna kipindi nchi za Kenya, Uganda na Tanzania kulianzishwa mchakato wa kuliunganisha Eneo lote hilo la nchi tatu liwe ni nchi moja na Rais mmoja. Kimbembe kilichojitokeza ni swali Nani atakuwa Nani? i.e. Nani atakuwa Rais? Je, ni Mzee Jomokenyata(rais wa Kenya), Obote(rais wa Uganda) au ni Mwl. Julius Kambarage Nyerere( Rais wa Tanzania)?? Nani atakuwa PM, ........Nchi yenye wajinga wengi Afrika ni DRC
Linchi ligawanywe tu na majirani zake
Angola wachukue chao,
Rwanda wachukue chao,
Burundi wachukue chao,
Brazaville wachukue chao,
Uganda wachukue chao,
Tanzania wachukue chao
Nchi haijiwezi
Kongo wamekwama sababu ya corruption na nepotism, haya ni miongoni mwa mambo yanayoondoa umoja kwenye taifa.Ingekuwa ni hapa Tz , hata mimi na umri wangu ningeenda fronti, kama miaka ya kumg'oa Nduli Idi Amin.
Kweli nchi bila umoja inanyanyasika.
Yeyote atakyekuwepo Congo DRC atatumia tu Bandari Salama.Congo DRC ni wateja wazuri wa bandari salama. Tusipojiingiza kwenye migogoro yao basi, machafuko yakakithiri, kukawa hakuingiliki basi tegemea yafuatayo:
1. Wamiliki wa malori wengi watashindwa lipa mikopo yao.
2. Bei za malori ndani ya nchi zitashuka as malori mengi yanayoenda nje ya nchi yatakuwa forced kufanya shughuli za ndani.
3. Madereva wengi na wasaidizi wao watakosa ajira, mnyororo wao ni mrefu sana.
4. Bandali salama itakosa mapato ya mizigo ya Congo DRC.
5. Clearing and Fowarding agents watakosa deals za kuwaweka mjini.
6. Madereva wa transit watakosa ajira.
7. Sekta ya ujenzi itadorora sana, hardwoods tunategemea sana toka Congo DRC.
Etc
Na huo ndo ukubwa wa tatizo la Kubwa Jinga!!Tshekedi msenge sana miaka zaidi ya 7 kashindwa kuunda jeshi imara
Kama laiti angeunda jeshi imara na kununua dhana za kivita za kutosha hata kufanya mazoezi ya pamoja ya mara Kwa mara na majeshi rafiki hata akitoa badget nzuri Kwa majeshi ya SADC wanaweza pambanaNa huo ndo ukubwa wa tatizo la Kubwa Jinga!!
Wakati wa machafuko purchasing power inashuka, wananchi wanakimbia na wanaobaki wanakuwa waoga kujihusisha na shughuli yoyote ya kiuchumi, maana unaporwa na hauna pa kwenda.Yeyote atakyekuwepo Congo DRC atatumia tu Bandari Salama.
East Congo bado biashara yao itapitia hapa kwetu.
Kweli kubwa jinga hili. Mara waseme kagame, mara m23, mara kabila. Sasawanasema tatizo ni waswahili. 🤣😂View attachment 3243715
Congo DRC wamekuwa kubwa jinga kwa muda mrefu.
Nchi haina umoja
Nchi ni tajiri sana
Nchi haina jeshi hata la watu laki moja
Na majenerali wa Congo ni wa kukata viuno tu, hawawezi hata kujitetea mbele ya vita.
Nchi nzima hii wao ni mayenu tu na kukata viuno
Cha ajabu huyu Rais wao Tsishekedi hajui aanzie wapi kukabiliana na wapinzani wake toka Rwanda.
PK anamnyanyasa kubwa jinga, DRC -Congo.
Hili kubwa jinga limebaki kulia lia kuomba msaada wa kijeshi toka kokote duniane, wao furaha yao ni mayenu tu.
DRC Congo inakera, tena sana.
Ingekuwa ni hapa Tz , hata mimi na umri wangu ningeenda fronti, kama miaka ya kumg'oa Nduli Idi Amin.
Kweli nchi bila umoja inanyanyasika.
DRC is a failed state.View attachment 3243715

Mkuu mbona unaongea uwongo DRC wale ni binadamu kama walioko hapa Tanzania na, binadamu wote ni sawa, kule kuna wadogo zako wakike na wakiume wanakufa sababu yakukosa mtu wakujitolea kama wewe kwenda kuwapigania... Kama unania nenda sasa kakae mtasi wa mbele kuliko kuomba vita ambayo hutaiwezaView attachment 3243715
Congo DRC wamekuwa kubwa jinga kwa muda mrefu.
Nchi haina umoja
Nchi ni tajiri sana
Nchi haina jeshi hata la watu laki moja
Na majenerali wa Congo ni wa kukata viuno tu, hawawezi hata kujitetea mbele ya vita.
Nchi nzima hii wao ni mayenu tu na kukata viuno
Cha ajabu huyu Rais wao Tsishekedi hajui aanzie wapi kukabiliana na wapinzani wake toka Rwanda.
PK anamnyanyasa kubwa jinga, DRC -Congo.
Hili kubwa jinga limebaki kulia lia kuomba msaada wa kijeshi toka kokote duniane, wao furaha yao ni mayenu tu.
DRC Congo inakera, tena sana.
Ingekuwa ni hapa Tz , hata mimi na umri wangu ningeenda fronti, kama miaka ya kumg'oa Nduli Idi Amin.
Kweli nchi bila umoja inanyanyasika.
Imagine bandari Salama inavyoitegemea DRC ila Tz ipo imelala unono😀😀😀 mteja wake mkubwa hapo bandarini anatomaswatomaswa!!!Congo DRC ni wateja wazuri wa bandari salama. Tusipojiingiza kwenye migogoro yao basi, machafuko yakakithiri, kukawa hakuingiliki basi tegemea yafuatayo:
1. Wamiliki wa malori wengi watashindwa lipa mikopo yao.
2. Bei za malori ndani ya nchi zitashuka as malori mengi yanayoenda nje ya nchi yatakuwa forced kufanya shughuli za ndani.
3. Madereva wengi na wasaidizi wao watakosa ajira, mnyororo wao ni mrefu sana.
4. Bandali salama itakosa mapato ya mizigo ya Congo DRC.
5. Clearing and Fowarding agents watakosa deals za kuwaweka mjini.
6. Madereva wa transit watakosa ajira.
7. Sekta ya ujenzi itadorora sana, hardwoods tunategemea sana toka Congo DRC.
Etc
Mbona hata Sasa hivi DR Congo kuna Serikali za Majimbo.Kongo unahitaji serikali ya Majimbo ... Haiwezekani maeneno Tajiri yapo mbali sana na hakuna maendeleo lakini Kinshasa inatajirika na kupata maendeleo.. Congo DRC inahitaji utawala style ya USA kila jimbo kujitegemea linchi likubwa sana