Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Kumekucha.
Kuna habari nimeipata kutoka chanzo nyeti kuwa Congo DRC na Burundi zinajipanga kuishambulia Rwanda. Haijabainika tarehe halisi ya mashambulizi na uvamizi ila chanzo hicho kimedai ni Kati ya mwezi February au March 2024.
Inadaiwa vyombo vya ujasusi nchini Rwanda vimepata habari hizi za uvamizi na Jeshi lake limejiweka tayari.
Mungu tunusuru Waafrika tuishi kwa Amani na upendo.