Tetesi: Congo DRC na Burundi wanadaiwa wapo mbioni kuivamia Rwanda

Kama israel na marekani na ulaya magharibi wote wameshindwa pale gaza eneo sawa na kisiwa cha ukerewe. Wataweza hao warundi na wakongo kuivamia nchi yenye ukubwa wa mikoa mitatu ya tanzania? Kwa uchumi gani walionao sasa
Hivi unaujua ukubwa wa nchi ya Rwanda na ukubwa wa mikoa ya Tanzania? Ngoja nikutoe tongotongo kidogo. Mkoa wa Manyara tu unaukubwa wa 44,522 sq.km, na kwa ukubwa ni unashika nafasi ya saba, ikizidiwa na mikoa Kama Tabora, Singida, Songea,Tanga, Lindi na Kigoma. Wakati huo Rwanda ina ukubwa wa 26,338 sq.km.

Kiufupi Rwanda inakaribiana kiukubwa na mikoa midogo ya Tanzania Kama Kagera, Geita au Simiyu. Mkoa ambao Rwanda inaweza uzidi kwa ukubwa ni Dar es salaam
Screenshot_20240103-082818.jpg

View attachment 2860593
View attachment 2860594View attachment 2860595
 
Hivi unaujua ukubwa wa nchi ya Rwanda na ukubwa wa mikoa ya Tanzania? Ngoja nikutoe tongotongo kidogo. Mkoa wa Manyara tu unaukubwa wa 44,522 sq.km, na kwa ukubwa ni unashika nafasi ya saba, ikizidiwa na mikoa Kama Tabora, Singida, Songea,Tanga, Lindi na Kigoma. Wakati huo Rwanda ina ukubwa wa 26,338 sq.km.

Kiufupi Rwanda inakaribiana kiukubwa na mikoa midogo ya Tanzania Kama Kagera, Geita au Simiyu. Mkoa ambao Rwanda inaweza uzidi kwa ukubwa ni Dar es salaam View attachment 2860589
View attachment 2860593
View attachment 2860594View attachment 2860595m
Mkoa wa Songea upo wapi? Kuna haja ya Walimu wa Geography kufanyiwa usaili wakati wa ajira zao.Kuna mwingine mtangazaji anasema mkoa wa Songea.
 
Mnawapa kichwa Santa hao wanyarwanda,lakini PK mwenyewe anaujua ukweli Kuna Mahali Africa Mashariki huwezi kosea kuwachokoza, PK Hawezi jaribu kukosea hata kurusha jiwe Tz.
Majasusi wake wanalala mitaa ya Mzizima wanafanya wanachotaka(operation) wanaondoka unnoticed, unasemaje?

Tushukuru Mungu Tanzania hatuna changamoto za Kiusalama mambo yangekushangaza.
 
Kama israel na marekani na ulaya magharibi wote wameshindwa pale gaza eneo sawa na kisiwa cha ukerewe. Wataweza hao warundi na wakongo kuivamia nchi yenye ukubwa wa mikoa mitatu ya tanzania? Kwa uchumi gani walionao sasa
Rwanda haina ukubwa huo unaodai hapa. Eti mikoa mitatu,! Acha mzaha.
 
Kama israel na marekani na ulaya magharibi wote wameshindwa pale gaza eneo sawa na kisiwa cha ukerewe. Wataweza hao warundi na wakongo kuivamia nchi yenye ukubwa wa mikoa mitatu ya tanzania? Kwa uchumi gani walionao sasa
very true ngumu kwa sasa kwa nchi yoyote ya kiafrica kuanzisha vita na nchi nyingine nchi nyingi zinapitia changamoto za kiuchumi hiyo budget ya vita utaitoa wapi? Wakati budget za nchi zenyewe 80% ni misaada its impossible, tanzania tulipigana na iddi amini aftermath ya vita wote tuliiona tulikula hadi ugali wa njano
 
Kama israel na marekani na ulaya magharibi wote wameshindwa pale gaza eneo sawa na kisiwa cha ukerewe. Wataweza hao warundi na wakongo kuivamia nchi yenye ukubwa wa mikoa mitatu ya tanzania? Kwa uchumi gani walionao sasa
Rwanda ni ndogo kuliko hata wilaya ya Sikonge iliyo mkoa wa Tabora. Kagame ana dharau na kiburi sana apigwe.
 
Back
Top Bottom