Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Majasusi wa nChi mpja kwenda Nchi nyingine sio kambo la ajabu maana ndio Diplomasia yenyewe.Ni prediction zako hakuna kitu kama hicho.Majasusi wapo si wa Rwanda hata Nchi marafiki na sisi hivyo hivyo wapo Majasusi wa Tanzania Rwanda na sio Rwanda tu kwenye inchi nyingine zinazohatarisha maslahi yetu, Kwa hiyo sio kitu cha ajabu.Majasusi wa Urusi wapo Marekani na wa Marekani wako Urusi ni vitu vya kawaida Sana katika ulimwengu wa Ujasusi.Kama alivyo mwenyewe PK Kuwa jasusi wa Nchi za Magharibi East and Central Africa ni mambo ya kawaida achaneni na story za vijiweni.
Issue ni pale wanapo fana overt operation( tunavyosikia sikia) un noticed.