Tetesi: Congo DRC na Burundi wanadaiwa wapo mbioni kuivamia Rwanda

Kama israel na marekani na ulaya magharibi wote wameshindwa pale gaza eneo sawa na kisiwa cha ukerewe. Wataweza hao warundi na wakongo kuivamia nchi yenye ukubwa wa mikoa mitatu ya tanzania? Kwa uchumi gani walionao sasa
Upo dunia gani mkuu?
 
Hivi unaujua ukubwa wa nchi ya Rwanda na ukubwa wa mikoa ya Tanzania? Ngoja nikutoe tongotongo kidogo. Mkoa wa Manyara tu unaukubwa wa 44,522 sq.km, na kwa ukubwa ni unashika nafasi ya saba, ikizidiwa na mikoa Kama Tabora, Singida, Songea,Tanga, Lindi na Kigoma. Wakati huo Rwanda ina ukubwa wa 26,338 sq.km.

Kiufupi Rwanda inakaribiana kiukubwa na mikoa midogo ya Tanzania Kama Kagera, Geita au Simiyu. Mkoa ambao Rwanda inaweza uzidi kwa ukubwa ni Dar es salaam View attachment 2860589
View attachment 2860593
View attachment 2860594View attachment 2860595
Ni sahihi
 
Ukubwa Si kigezo pekee,

Hujiulizi Israel Ina ukubwa gani?
 
Mimi naomba yasitokee maana Jeshi la Rwanda kwa gadhabu na hasira zitarusha mabomu hadi Tanzania na Uganda.
Asijaribu kabisa kuigusa tanzania itamchakaza siku tu hiyo rwanda kama mkoa wa tanga tu
 
Back
Top Bottom