Tetesi: Congo DRC na Burundi wanadaiwa wapo mbioni kuivamia Rwanda

Tetesi: Congo DRC na Burundi wanadaiwa wapo mbioni kuivamia Rwanda

Hapo ndio wazungu huwa wanapiga hela kwa misaada yao kama Charities zote za kusaidia wakimbizi

Vita ikianza tu utaona taasisi kibao zinakuja kupiga picha wakimbizi wakiwa wameongozana barabarani wakiwa wamebeba vitu kichwani kama kawaida

Mwafrika badala ya kuwaza maendeleo yeye ni vita tu, umasikini umejaa bado wanatafuta laana zingine daa
Red X watachekelea sana kwa hela wanazoomba huku tuwasaidie masikini
Kuna biashara zingine hazihitaji mbinu nyingi kwa masikini
Ni kuwachonganisha tu
Kama wengine wanavyoambiwa shangazi ndio kakuroga
 
Kumekucha.

Kuna habari nimeipata kutoka chanzo nyeti kuwa Congo DRC na Burundi zinajipanga kuishambulia Rwanda. Haijabainika tarehe halisi ya mashambulizi na uvamizi ila chanzo hicho kimedai ni Kati ya mwezi February au March 2024.

Inadaiwa vyombo vya ujasusi nchini Rwanda vimepata habari hizi za uvamizi na Jeshi lake limejiweka tayari.

Mungu tunusuru Waafrika tuishi kwa Amani na upendo.
Tatizo nini ?
 
2024 inakuja na moto mzito sasa itakuaje🤔
 
Mkoa wa Songea upo wapi? Kuna haja ya Walimu wa Geography kufanyiwa usaili wakati wa ajira zao.Kuna mwingine mtangazaji anasema mkoa wa Songea.
Nilimaanisha Ruvuma, lakini tambua vilevile mji mkuu huwakilisha taifa. Mfano waweza sikia ikitangazwa kuwa Beijing imesema ikiwakilisha msimamo wa China ingawa imetajwa Beijing ambayo Ni mji mkuu, the same to me kutaja Songea kuwakilisha Ruvuma.
 
Sio kweli Mkuu!Kubali umekosea sio Tena porojo.
 
Hakuna kenge yoyote Afrika Mashariki na kati anayeweza kuigusa Tz,huwa Tanzania siku zote inahubiri amani hiyo moja ya sera zetu. Ndomaana huwa hatuna mbwembwe kama baadhi ya majirani zetu. Ila asithubutu hata mmoja kuichokoza Tz .
 
Burundi watulie wasijiingize
Watachakaa zaidi kuliko walivyochakaa sasa.
Ya Ngoswe wa mwachie Ngoswe..
 
Hakuna kenge yoyote Afrika Mashariki na kati anayeweza kuigusa Tz,huwa Tanzania siku zote inahubiri amani hiyo moja ya sera zetu. Ndomaana huwa hatuna mbwembwe kama baadhi ya majirani zetu. Ila asithubutu hata mmoja kuichokoza Tz .
Mbona kama mkwala boss?
 
Mimi naomba yasitokee maana Jeshi la Rwanda kwa gadhabu na hasira zitarusha mabomu hadi Tanzania na Uganda.
Usiifananishe Tanzania ni vitu vya ajabu kama Rwanda. Nakuhakikishia Tanzania akitaka hata kesho ataitawala Rwanda kama koloni au mali yake halali kama Israel na Gaza
 
Wapo sawa tu. Kama kweli Rwanda kwa muda mrefu ameihujumu DRC, ni muda sasa wa kulipiza kisasi. Humu duniani ukiona unahujumiwa na imeshindikana diplomasia inabidi kujihami kwa vita kama anavyofanya Russia.

Na vita ikitokea, atakayepata hasara zaidi ni Rwanda, kujipanga upya itakuwa ni ngumu.
 
Acha watwangane ,tukawauzie silaha na chakula , tutajirike
Vita ni fursa
Hizo silaha utawauzia ulizotengeneza au ulizonunua? Mana ukiona kwa jirani kunafuka moshi si na wewe unajiandaa kikamilifu! Iweje uanze kuuza silaha wakati na wewe yanaweza kukukuta!!!!!
 
Ngumu sana hiyo. Burundi ni maskini sana na Kongo hawezi kitu
Warundi wanatoa rasilimali watu, na DRC anatoa rasilimali fedha kwa sababu ana rasilimali za kuuza.

DRC hawezi peke yake kwa sababu inasemekana wanajeshi wa DRC ni walevi na waoga hawawezi kupambana, lakini Warundi wana roho ngumu. Hii combination itamsumbua sana Rwanda.
 
Back
Top Bottom