Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Hapo ndio wazungu huwa wanapiga hela kwa misaada yao kama Charities zote za kusaidia wakimbizi
Vita ikianza tu utaona taasisi kibao zinakuja kupiga picha wakimbizi wakiwa wameongozana barabarani wakiwa wamebeba vitu kichwani kama kawaida
Mwafrika badala ya kuwaza maendeleo yeye ni vita tu, umasikini umejaa bado wanatafuta laana zingine daa
Red X watachekelea sana kwa hela wanazoomba huku tuwasaidie masikini
Kuna biashara zingine hazihitaji mbinu nyingi kwa masikini
Ni kuwachonganisha tu
Kama wengine wanavyoambiwa shangazi ndio kakuroga