Tetesi: Congo DRC na Burundi wanadaiwa wapo mbioni kuivamia Rwanda

Kumekucha.

Kuna habari nimeipata kutoka chanzo nyeti kuwa Congo DRC na Burundi zinajipanga kuishambulia Rwanda. Haijabainika tarehe halisi ya mashambulizi na uvamizi ila chanzo hicho kimedai ni Kati ya mwezi February au March 2024.

Inadaiwa vyombo vya ujasusi nchini Rwanda vimepata habari hizi za uvamizi na Jeshi lake limejiweka tayari.

Mungu tunusuru Waafrika tuishi kwa Amani na upendo.
Ni baada ya vyovyo vyao vya ujasusi kujuwa mchawi wa Kanda yao ninani na Nini sababu ya vifo vya Marais kadhaa.. itakuwa hali mbaya sana Mungu utunisuri
 
Tunajua Israel anasaidiwa na USA na UK
Sasa hapo nani atamsaidia nani?
Halafu muanze kuomba hela kama Zelensky
Na sisi kama kawaida kupokea wakimbizi na kuwapa uji tu wakati tutapokea hela za kuwalisha hata biriyani kila siku na mkate kwa chai asubuhi
Ila mtu mweusi atabaki na laana miaka yote
 
Lkn angalau watu weusi wengi hawajabariki ndoa za mashoga.Mzungu ana laana Ile iliyoshindikana kabisa.
 
Tunajua Israel anasaidiwa na USA na UK
Sasa hapo nani atamsaidia nani?
Halafu muanze kuomba hela kama Zelensky
Na sisi kama kawaida kupokea wakimbizi na kuwapa uji tu wakati tutapokea hela za kuwalisha hata biriyani kila siku na mkate kwa chai asubuhi
Ila mtu mweusi atabaki na laana miaka yote
Jana kule Zanzibar nilimuona Kagame akiwatizama makomandoo wetu kwa jicho la dharau.
 
Kumekucha.

Kuna habari nimeipata kutoka chanzo nyeti kuwa Congo DRC na Burundi zinajipanga kuishambulia Rwanda. Haijabainika tarehe halisi ya mashambulizi na uvamizi ila chanzo hicho kimedai ni Kati ya mwezi February au March 2024.

Inadaiwa vyombo vya ujasusi nchini Rwanda vimepata habari hizi za uvamizi na Jeshi lake limejiweka tayari.

Mungu tunusuru Waafrika tuishi kwa Amani na upendo.
wanatuchosha sana majirani hawa kila siku ni wao tu kelele na kuuwana ujue hata ukikaa makazi ambayo jirani zako muda mwingi ni kupigana inachosha sana na ni hatari kwa malezi ya watoto wako pia..

kama east africa federation ilitakiwa iwape muda wa matazamio kama ni mwaka hivi hizi nchi zihakikishe zinamaliza migogoro yao la sivyo waondolewe kwenye shirikisho wapambane na hali zao..!
 
Jana kule Zanzibar nilimuona Kagame akiwatizama makomandoo wetu kwa jicho la dharau.

Jana kule Zanzibar nilimuona Kagame akiwatizama makomandoo wetu kwa jicho la dharau.

Jana kule Zanzibar nilimuona Kagame akiwatizama makomandoo wetu kwa jicho la dharau.
Na sisi tunajidhalilisha wenyewe
Yaani kila leo kuruka ruka tu
Hivi huyo commando kabeba mzigo karibu 80kg ukimsukuma akaanguka ataamka kweli hebu tuache utani
Lazima tujikite kwenye silaha nzito na kubwa hata zikipita hapo wanaona hapo kuna silaha za kupigana haswa
Dunia ya leo unapigwa na silaha za kubwa na drones
 
Back
Top Bottom