Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,230
- 6,742
DRC siku nyingi inalalamika kuwa Rwanda inawahujumu kwa kufadhili waasi, je kwanini iwe rwanda na isiwe nchi nyingine nyingi inazopakana nazo??? Lisemwalo lipo kama halipo basi laja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama israel na marekani na ulaya magharibi wote wameshindwa pale gaza eneo sawa na kisiwa cha ukerewe. Wataweza hao warundi na wakongo kuivamia nchi yenye ukubwa wa mikoa mitatu ya tanzania? Kwa uchumi gani walionao sasa
Kumekucha.
Kuna habari nimeipata kutoka chanzo nyeti kuwa Congo DRC na Burundi zinajipanga kuishambulia Rwanda. Haijabainika tarehe halisi ya mashambulizi na uvamizi ila chanzo hicho kimedai ni Kati ya mwezi February au March 2024.
Inadaiwa vyombo vya ujasusi nchini Rwanda vimepata habari hizi za uvamizi na Jeshi lake limejiweka tayari.
Mungu tunusuru Waafrika tuishi kwa Amani na upendo.
Wanataka kuchafua hali ya hewa EAKumekucha.
Kuna habari nimeipata kutoka chanzo nyeti kuwa Congo DRC na Burundi zinajipanga kuishambulia Rwanda. Haijabainika tarehe halisi ya mashambulizi na uvamizi ila chanzo hicho kimedai ni Kati ya mwezi February au March 2024.
Inadaiwa vyombo vya ujasusi nchini Rwanda vimepata habari hizi za uvamizi na Jeshi lake limejiweka tayari.
Mungu tunusuru Waafrika tuishi kwa Amani na upendo.
Warushe Tanzania ili iweje?Mimi naomba yasitokee maana Jeshi la Rwanda kwa gadhabu na hasira zitarusha mabomu hadi Tanzania na Uganda.
Hivi yule mzee wa kofia pana walishazinguana na Mr slimu ule urafiki wa kufanana pua na kimo umeishiajeDRC siku nyingi inalalamika kuwa Rwanda inawahujumu kwa kufadhili waasi, je kwanini iwe rwanda na isiwe nchi nyingine nyingi inazopakana nazo??? Lisemwalo lipo kama halipo basi laja
Ni jambo jema sanaKumekucha.
Kuna habari nimeipata kutoka chanzo nyeti kuwa Congo DRC na Burundi zinajipanga kuishambulia Rwanda. Haijabainika tarehe halisi ya mashambulizi na uvamizi ila chanzo hicho kimedai ni Kati ya mwezi February au March 2024.
Inadaiwa vyombo vya ujasusi nchini Rwanda vimepata habari hizi za uvamizi na Jeshi lake limejiweka tayari.
Mungu tunusuru Waafrika tuishi kwa Amani na upendo.
Subutu arushe mabomu tanzania labda km kashachoka kutawala huyo anapgana na vikosi vya huko huko border na anapgwa kama mwiziMimi naomba yasitokee maana Jeshi la Rwanda kwa gadhabu na hasira zitarusha mabomu hadi Tanzania na Uganda.
Mapema sana washatibuana, mr Slimu bado ana itikadi za msituni ambazo ukombozi kwanza hivyo hana urafiki na mtu usio na maslahiHivi yule mzee wa kofia pana walishazinguana na Mr slimu ule urafiki wa kufanana pua na kimo umeishiaje
Anawaiga IsraelMapema sana washatibuana, mr Slimu bado ana itikadi za msituni ambazo ukombozi kwanza hivyo hana urafiki na mtu usio na maslahi
Kashazinguana na kila mtu kuanzia m7 mpk jirani yake
Wewe ndg unataka kutuhamisha kwenye mada.Kama israel na marekani na ulaya magharibi wote wameshindwa pale gaza eneo sawa na kisiwa cha ukerewe. Wataweza hao warundi na wakongo kuivamia nchi yenye ukubwa wa mikoa mitatu ya tanzania? Kwa uchumi gani walionao sasa
Hiyo ilikuwa ahadi ya Tshikedi wakati wa kampeni kuwa akishinda atawamaliza M23!Amini kijana!
Kumaamee hao Rwanda hizo ghadhabu zao hawatothubu kurusha hata risasi moja bongo,, kwani hawajasahau ule mziki wa afande mwakiborwa kule Congo na wale viande wao wa m23Mimi naomba yasitokee maana Jeshi la Rwanda kwa gadhabu na hasira zitarusha mabomu hadi Tanzania na Uganda.
Kojoa ulaleMimi naomba yasitokee maana Jeshi la Rwanda kwa gadhabu na hasira zitarusha mabomu hadi Tanzania na Uganda.
Hiki ni kichekesho, bonyeza nyota kitakuwa cha kwako.Mimi naomba yasitokee maana Jeshi la Rwanda kwa gadhabu na hasira zitarusha mabomu hadi Tanzania na Uganda.
Huwa naona vijana wanatamani kuoa vibinti vya Ki2c nadhani huo ndio utakuwa wakati sahihi wa kujinyakulia hawa wakimbizi watarajiwa ikiwa ni kweli vita itapiganwa.Kumekucha.