Connection ya namba za waganga wakali Bongo

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
Mwaka ushausha huo, tupia hapa namba za mtaalamu wako unayemkubali kwenye ndumba zako

1. Waganga wa kupata likes nyingi
2. Waganga wa kupata ubunge wa kuteuliwa
3. Waganga wa kupata pisi kali ma- C.E.O
4. Waganga wa kula mgahawan bure
5. Waganga wa kupasua pepa
6. Waganga wa kutokuombwa hela na mademu
7. Waganga....
8. Waganga...
9. Waganga wakupata ofa nyng baa
10. Waganga wa kupanda daladla bila nauli

Najua kuna magwiji humu. Hepu tupeni uzoefu wenu CONNECTION

Uzi tayari cc Bujibuji ki2kombora Mshana Jr As Salafiyyu91
 
Mwaka ushausha huo ,tupia hapa namba za mtaalamu wako unayemkubali kwenye ndumba zako

1.Waganga wa kupata likes nyingi
2.Waganga wa kupata ubunge wa kuteuliwa
3.Waganga wa kupata pisi kali ma- C.E.O
4.Waganga wa kula mgahawan bure
5.Waganga wa kupasua pepa
6.Waganga wa kutokuombwa hela na mademu
7.Waganga....
8.Waganga...
9.waganga wakupata ofa nyng baa
10.waganga wa kupanda daladla bila nauli

Najua kuna magwiji humu..hepu tupen uzoefu wenu CONNECTION

Uzi tayari cc Bujibuji ki2kombora Mshana Jr As Salafiyyu91
Bruh naona ukubwa unakushinda, tudi tu utotoni
 
Nambari 4 nimeikubali.
Kuna mzee huko Muheza noma, kitu ambacho yeye atakufanyia within 3 minutes walokole watafanya mikesha ya maombi 20 ndipo kitatokea.
Mwaka ushausha huo, tupia hapa namba za mtaalamu wako unayemkubali kwenye ndumba zako

1. Waganga wa kupata likes nyingi
2. Waganga wa kupata ubunge wa kuteuliwa
3. Waganga wa kupata pisi kali ma- C.E.O
4. Waganga wa kula mgahawan bure
5. Waganga wa kupasua pepa
6. Waganga wa kutokuombwa hela na mademu
7. Waganga....
8. Waganga...
9. Waganga wakupata ofa nyng baa
10. Waganga wa kupanda daladla bila nauli

Najua kuna magwiji humu. Hepu tupeni uzoefu wenu CONNECTION

Uzi tayari cc Bujibuji ki2kombora Mshana Jr As Salafiyyu91
 
Kuna afande mwenzangu alitimuliwa kazi , kaliwa pesa na waganga njaa wa Dar. Kaenda Muheza huko ndani katoa misimbazi miwili tu siku hiyohiyo akapigiwa simu aende kupiga kazi faster
Kwa mganga katoka saa mbili usiku , saa tatu usiku anagongewa simu
Duh
 
Hatari sana. Kuna tofauti kati ya mganga na mchawi ?
 
Mwaka ushausha huo, tupia hapa namba za mtaalamu wako unayemkubali kwenye ndumba zako

1. Waganga wa kupata likes nyingi
2. Waganga wa kupata ubunge wa kuteuliwa
3. Waganga wa kupata pisi kali ma- C.E.O
4. Waganga wa kula mgahawan bure
5. Waganga wa kupasua pepa
6. Waganga wa kutokuombwa hela na mademu
7. Waganga....
8. Waganga...
9. Waganga wakupata ofa nyng baa
10. Waganga wa kupanda daladla bila nauli

Najua kuna magwiji humu. Hepu tupeni uzoefu wenu CONNECTION

Uzi tayari cc Bujibuji ki2kombora Mshana Jr As Salafiyyu91
Wale wa kwenye mabango?
 
Back
Top Bottom