Connection ya namba za waganga wakali Bongo

Connection ya namba za waganga wakali Bongo

Kama kuna mtu kakuudhi sana na unataka kumrestisha in trouble 2waxiliane
Nkikicheki inakaa hivi
Screenshot_20220618-121001.jpg


Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 
Uchawi kweli upo,

Maza alisema atawapiga chini ma DED wote ambao utendaji kazi wao unatia shaka na maswala ya ubadhilifu lakini mpaka leo amesha sahau na kusahau kuwashughulikia.

Kuna watu humu walimwambia kwa kuwa umewatangazia hivyo basi wataanza kukimbilia kwa waganga wa kienyeji kuroga usiwatoe na kujusahaulisha mazima!

Sasa si unaona kweli!

Mimi nashauri ukitaka kufanya kazi yako Fanya kimya Kwa kuwastukiza usipige mbiu ile ya la mgambo!
 
Back
Top Bottom