Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Hahaha na we una harakati?Ila tusemeni ukweli..huu mwaka 2020 ulikuwa mgumu Sana tokea nianze harakati zangu sijawahi kubanwa km mwaka huu yaani Mambo hayaendi kbs
Bruh naona ukubwa unakushinda, tudi tu utotoniMwaka ushausha huo ,tupia hapa namba za mtaalamu wako unayemkubali kwenye ndumba zako
1.Waganga wa kupata likes nyingi
2.Waganga wa kupata ubunge wa kuteuliwa
3.Waganga wa kupata pisi kali ma- C.E.O
4.Waganga wa kula mgahawan bure
5.Waganga wa kupasua pepa
6.Waganga wa kutokuombwa hela na mademu
7.Waganga....
8.Waganga...
9.waganga wakupata ofa nyng baa
10.waganga wa kupanda daladla bila nauli
Najua kuna magwiji humu..hepu tupen uzoefu wenu CONNECTION
Uzi tayari cc Bujibuji ki2kombora Mshana Jr As Salafiyyu91
Amuulze Rwanda gereHuwezi kufua dafu kwa kutumia waganga!
kuna watu wanazo mkuu..haiwezekan mwaka unaanza hadi unaisha hata baskel huna..Ili kupata connection isiyo na longolongo ni kumtegemea Mungu tu...huko kwingine mtaenda kupewa masharti ya kifala
Ukubwa ni pesa mkuuBruh naona ukubwa unakushinda, tudi tu utotoni
Huyo mungu kwa nini hakufanya watu wawe na unafuu wa kimaisha kabla hajawaumba huku yeye alikuwa na huo uwezo??Ili kupata connection isiyo na longolongo ni kumtegemea Mungu tu...huko kwingine mtaenda kupewa masharti ya kifala
na wenzio walikua wanafikiri hivo hivoUkubwa ni pesa mkuu
na wenzio walikua wanafikiri hivo hivo
Sawa mzee wa gunduna wenzio walikua wanafikiri hivo hivo
Tutajie mganga wako mkuu..acha mbwembwe
Mwaka ushausha huo, tupia hapa namba za mtaalamu wako unayemkubali kwenye ndumba zako
1. Waganga wa kupata likes nyingi
2. Waganga wa kupata ubunge wa kuteuliwa
3. Waganga wa kupata pisi kali ma- C.E.O
4. Waganga wa kula mgahawan bure
5. Waganga wa kupasua pepa
6. Waganga wa kutokuombwa hela na mademu
7. Waganga....
8. Waganga...
9. Waganga wakupata ofa nyng baa
10. Waganga wa kupanda daladla bila nauli
Najua kuna magwiji humu. Hepu tupeni uzoefu wenu CONNECTION
Uzi tayari cc Bujibuji ki2kombora Mshana Jr As Salafiyyu91
Nasubir unipe nambaNambari 4 nimeikubali.
Kuna mzee huko Muheza noma, kitu ambacho yeye atakufanyia within 3 minutes walokole watafanyabl mikesha 20 ndipo kitatokea.
DuhKuna afande mwenzangu alitimuliwa kazi , kaliwa pesa na waganga njaa wa Dar. Kaenda Muheza huko ndani katoa misimbazi miwili tu siku hiyohiyo akapigiwa simu aende kupiga kazi faster
Kwa mganga katoka saa mbili usiku , saa tatu usiku anagongewa simu
Kuna afande mwenzangu alitimuliwa kazi , kaliwa pesa na waganga njaa wa Dar. Kaenda Muheza huko ndani katoa misimbazi miwili tu siku hiyohiyo akapigiwa simu aende kupiga kazi faster
Kwa mganga katoka saa mbili usiku , saa tatu usiku anagongewa simu
Wale wa kwenye mabango?Mwaka ushausha huo, tupia hapa namba za mtaalamu wako unayemkubali kwenye ndumba zako
1. Waganga wa kupata likes nyingi
2. Waganga wa kupata ubunge wa kuteuliwa
3. Waganga wa kupata pisi kali ma- C.E.O
4. Waganga wa kula mgahawan bure
5. Waganga wa kupasua pepa
6. Waganga wa kutokuombwa hela na mademu
7. Waganga....
8. Waganga...
9. Waganga wakupata ofa nyng baa
10. Waganga wa kupanda daladla bila nauli
Najua kuna magwiji humu. Hepu tupeni uzoefu wenu CONNECTION
Uzi tayari cc Bujibuji ki2kombora Mshana Jr As Salafiyyu91
Yes.Hatari sana. Kuna tofauti kati ya mganga na mchawi ?