Uchawi kweli upo,
Maza alisema atawapiga chini ma DED wote ambao utendaji kazi wao unatia shaka na maswala ya ubadhilifu lakini mpaka leo amesha sahau na kusahau kuwashughulikia.
Kuna watu humu walimwambia kwa kuwa umewatangazia hivyo basi wataanza kukimbilia kwa waganga wa kienyeji kuroga usiwatoe na kujusahaulisha mazima!
Sasa si unaona kweli!
Mimi nashauri ukitaka kufanya kazi yako Fanya kimya Kwa kuwastukiza usipige mbiu ile ya la mgambo!