Connection za kazi nje ya nchi: Qatar, Oman, Dubai, Saudi, UAE

Habari unaweza nicheki wasap 0747940315
 
Mkuu Hizi habari za manyanyaso nchi za kiarabu ni kweli au ??
 
Kuna jamaa alinipq namba za wakala wa kutafuta kazi.huko arabuni.nilipomtafuta akasema kwa sasa kazi za wanaume hana.ila za wanawake anazo.wakala yupo dar namba zake hizi.0717643900 muhsin.
kwa wanawake jaribuni
 
Mkuu Hizi habari za manyanyaso nchi za kiarabu ni kweli au ??
sio kweli.... wanao lala Mika kunyanyaswa kuna kitu huwa wanakorofisha ndio maana yana wakuta.... ila nchi za kiarabu ni nchi zenye kufuata sheria na itikadi kali ukienda na utanzania...

ukaendekeza uvivu na kutokufuata taratibu lazima utawaona wana roho mbaya. kwa kifupi mtu analipia huduma ili apate matokeo mazuri.

huu mchakato wa ajira warabu huwa wanagharamia pesa kwa asilimi 100 ili wapate mfanyakazi mzuri.

na cha kujiuliza kwanini wanao lalamika kunyanyaswa wengi ni wanawake... je hakuna wanaume wanaoenda...?​
 
Nimekuelewa vzr mkuu.
 
Kwa nchi za waarabu hapana.
Ingekuwa UK, USA au Canada ningekutafuta.
hutopata hizi nchi unazo taka... kama huna pesa... andaa 15m... kama unayo weka benk kisha cheza bahati nasibu ya GREEN CARD LOTTERY... inayochezeshwa kila mwisho wa mwezi wa 9 kila mwaka...

ikibahatika kushinda hiyo 15m itakusaidia kukufikisha Marekani kama unavyotaka...

mchakato wa kwenda marekani sio kitoto...!​
 
Sasa wewe nae kamba nyingi yaani mtu ana millioni 15 na asubiri bahati nasibu kuingia USA mbona hiyo hela mtu anaenda bila shida yyte muhimu akidhi vigezo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…