lane
Umetoa maelezo mengi ila mpaka sasa nashindwa kuelewa dola hii inanufaika vipi na hizi mind spinning unazoziongelea? Juzi tu makamu wa raisi wa Zanzibar alitoka kuongelea kauli za uchochezi na Ponda leo tena dola ifanye conspiracy kwa manufaa ya nani? Serikali inajua kabisa Ponda ni sumu ndani ya jamii ni mchohcezi wa kidini na hata tukio la kumwagiwa tindikali kwa wale wasichana wa Zanzibar limehusishwa na kauli zake; huyu mtu serikali walimchekea sana na si yeye tu wapo wengi wanaotumia dini; huu ni wakati muafaka wa kuondoa hizi fitina za kidini; anayetaka kuongea siasa na avue majoho ya kidini; huu upuuzi umeachiwa kwa muda mrefu; suala la alikiwa wapi lazima atakuwa alipata matibabu ya kuzuia kuvuja damu na ikibidi pia alazimishwe kusema wapi alikuwa.

Last edited by a moderator: