Conspiracy Theory (MIND SPINNING): Sheikh Ponda Issa Ponda hajapigwa na Polisi

ulipouliza swali la kizushi, nikajikuta naanza kuamini kuwa jamaa hajapigwa risasi, bali ni mchezo wa kupika story uliojitokeza hapa. big up kwa ufafanuzi wako.🙂
 
siasa za hii nchi zinautata mkubwa hata lipumba aliwahi kuhoji iweje mtu alienyimwa dhamana aachiwe kifungo cha nje?. kimsingi hii ni cooked story. natambuwa uwepo wa photoshoped
 
splendid. wabongo tumekuwa watu wa kuamini taarifa za media kiasi kwamba wakitunga uongo tunahama moja kwa moja, ni marangapi tunaambiwa tuzime simu kuna mionzi ya sjui nini inapita saa sita usiku,tunazima mpaka kesho utasikia nchi nzima inajua. hii ni cooked story, inataka ku-balance na uhalisia, infact ukiondoa 'mapenzi' na kuweka logic, ni ngumu kukubali kama kuna kitu kama hiki kimetokea. jamaa yupo anakula bata, tuache kuamini picha za photoshoped.
 
Jp Omuga na mtoa mada lane mnaongea lugha moja.
Swali je... hili lilikuwa planned na pande zote mbili? Au hata na upande mmoja na kupandikiza watu upande wa pili waliohakikisha Ponda anatoroshwa,anafichwa kwa mda fulani?
Bado kuna maswali zaidi.
 
Last edited by a moderator:
I guess the plan went quite well.
The proven sniper hit the very target, and probably is now settled happily in the waiting list for promotions!
 
Kwa maelezo na picha ya jeraha niliyoona hapa nakubaliana na mtoa mada, kuna kaujanja. Tena wamehakikisha jeraha halitishii maisha, yaani hili hata kwenye dispensary tu angepona. Nimemsikia msemaji wa Moi akiongea jana kwenye tv kuwa mgonjwa Ponda alifikishwa MOI akiwa ameshashonwa jeraha lake, na kwamba hawana uhakika ni risasi maana hawakuiona. Ninaamini kuwa madaktari kwa weledi wao wanaweza kutambua jeraha la risasi hata kama hawajaikuta mwilini hiyo risasi. Kwa hili wamesema ni "kitu chenye ncha kali" kwa mujibu wa Bw Almasi Jumaa wa hospitali ya MOI. Kwa mazingira haya nashawishika kuamini kuwa hakupigwa risasi. Tuendelee na mjadala.
 
kwa kiasi kikubwa naweza kukubaliana na hisia zako lane, kukimbia hospitali ya morogoro na kukimbilia muhimbili isingetosha kumfanya adui yako asikushike. na kwa wanaohoji kama ponda amejipiga mwenyewe, haina jibu la moja kwa moja, kwani lazima ajipige mwenyewe au apigwe na watu wengine? cha muhimu hapo ni lazima aumizwe. kwani wanaojilipua huwa wakoje? si wanajua kabisa kuwa na wenyewe wataumia au kufa kabisa!
hakuna mtu mwenye akili anayeweza kufurahia au kushabikia mtu mwingine anapodhuriwa, labda tu awe na roho yake tofauti, na pia hapa tusilazimishe wote tufikirie vile vile, tunatofautiaana katika kuona na kuchambua mambo na wakati huo huo kuna watu wanafiki, bendera fata upepo, waoga, wakatili, wakweli na hizi tabia jinsi zilivyo tofauti ndivyo na watu wanavyotofautiana. hapa kinachoendelea bila kuuma maneno na habari hii inapachikwa kwenye muendelezo wa udini, hata matamko yanayotolewa na watu mbali mbali yanaonyesha hivyo. all in all ni kwamba serikali ina walakini kwa namna nchi inavyoendeshwa, tutakutana na kila fedheha watanzania na kwa sababu wengi wetu ni wanafiki si rahisi kutoka kwenye shida tuliyonayo. kuna watu wanaangalia ni nani muhusika wa jambo hili, kama ni mtu asiye wa upande wake utaona tu tamko linavyokuwa. kuna wengine wanajitahidi kuonyesha kosa liko wapi bila kujali muhusika ni wa upande wake au la, tuacheni unafiki wataanzania, na ukiwa mnafiki ni lazima pia kuwa mwongo, huwezi kusema ukweli!
 

cc. njiwa, Ritz, kahtaan, FaizaFoxy
 
Lane to some extent umenifanya niache kuwaza navyowaza nakuanza kucheki other way Maana Kama Risasi why mmoja tuuh Kajeruhiwa na walikuwa wapi! Inabidi tukae tutafakari hili na kwakuwa wote watu wazima haikuwa na haja ya Matusi alichosema ni kweli Police watakuwa wamehusika but sio Planned kwamba iwe hivyo Kuficha Mambo mengne?
Ahsante Mkuu Lane
 
ha ha ha ha:smile-big:
 
Ndugu aliyeleta picha nadhani kunatatizo katika uwekaji wa picha au picha haziendani. Namaanisha kuwa ukiangalia kidonda kinaonekana nyuma ya bega lakini picha nyingi ikiwemo ilopo hapo inaonesha amefungwa mbele ya bega sasa sijui ameumia mbele au nyuma! kama ni risasi ikapita mbele ikatokea nyuma lazima mfupa ungevunjika lakini naona ameugemea mkono huohuo kweli hiki kiini macho. Nimejua sababu za MOI kusema hawajaweza kugundua jeraha limetokana na nini na sababu za jamaa kupiga walinzi na kukimbia hosipitali ya morogoro.

Huyu ponda anahitaji mtu mgumu anayejua kuingiza unyasi kwenye kikojoleo ndio atasema ukweli lakini anapolelewa kiasi hiki atazoea na mwisho atakua kama chama fulani kinachojidai ndicho chenye nchi na wengine wote si viongozi ila mafisadi na wala rushwa tu.
 
lane

Hivi Mjinga akitwa Mjinga anakuwa ametukanwa ?

au pinda alipoitwa --------, je alitukanwa au alisifiwa?

Wewe mimi nakuita MJINGA na ndicho unachostahili.


View attachment 106697View attachment 106698

Ni ukweli hii picha yenye jeraha haina uhusiano na Ponda,kwani picha inaonyesha jeraha kama ni mkwa mbele
basi lipo mkono wa kushoto,kama ni mkono wa kulia kama wanavyotaka kutuaminisha ni nyuma ya bega si kwa mbele.
Na kama lengo lilikuwa ni kuonyesha watanzania kuwa Ponda amepigwa risasi kwa nini wasimuonyeshe sehemu yote ya
mbele yaani sura yake,pamoja na jeraha?!!! hapa kuna usanii
 

Nadiliki kusema .... NI MAONI YAKO. Narudia ..... Ni Maoni Yako. For Gods sake no vision in it- Ni maoni yangu pia
 
Very disturbing...nimependa mno comment za lemutuz tunaacha mambo ya msingi kabisa tunadili na Ponda what a shame...!
 

hahahaha mkuu bado kazi ya ulinzi wa nchi hii ipo mikononi mwa serikali yetu!
 
mkuu mwenyewe nakubaliana na wewe polisi hawajafanya haya ila mamluki kafanya!
 
Kuna taarifa ambazo bado nafuatilia kuzithibitisha, nasikia ponda anatuchezea tu akili nae ni mwenzie na rama wa TISS, ingawa yy ana operate nje ya organ
 
hiii consipirasi hii.
Lakini kama vile kuna ka ukweli....
haya endeleeni umiza vichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…