Construction of Nairobi BRT has started. Real the best in Africa

Mwaka hujaisha na sasa BRT tunayo sasa sijui wimbo wenu mtaubadilisha to what kama si vile mmetushinda kwa umasikini😀😀😀🙁🙁
nyie muna BRT au vichekesho vya mwaka😀😀😀😀😀😀 umeamua kujifariji tu huku roho inakuuma😛😛😛
 
Tunawajua ni wenye wivu mkubwa. I think they lead the world in the most unhappy and jealousy index. Wimbo wao wa "tuna BRT" wamepokea pigo kubwa baada ya Kenya kuweka yake pia without any Cost. Lastly our BRT is longer by more than 30km.
Good morning my brother from failed state, nimesikia China imetuma ujumbe wa watu 30 kuja Kenya kujifunza jinsi ya kutengeneza SGR ya kuchora, hongereni sana kwa hatua hiyo majirani zetu, ninyi kwa ugunduzi ni kiboko hapa duniani
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
nyie muna BRT au vichekesho vya mwaka😀😀😀😀😀😀 umeamua kujifariji tu huku roho inakuuma😛😛😛
Tena The longest in East and Central Africa...yani tumewatoa ka hesabu na habari ya siku moja😀😀😀😀 hapana cheza na nyang'au babaa juu pale ujanja wenyu unafikia ndio ujinga wetu unaanza.🙂🙂🙂
 
Usisahau kutaja the longest BRT in East And Central Africa ipo hapa Kenya.😀😀😀
 
Tena The longest in East and Central Africa...yani tumewatoa ka hesabu na habari ya siku moja😀😀😀😀 hapana cheza na nyang'au babaa juu pale ujanja wenyu unafikia ndio ujinga wetu unaanza.🙂🙂🙂

Tayari you have a justification HOW the EuroBond I was used. Ila mnajua kuibaka Kenya.
 
mtoa mada umeeleza vema ila huwezi kuniambia kuwa hii BRT ITS UNIQUE huu ni uongo,tembelea JHB,CPT,ADDIS,RABAT,long time ago washakua nayo na ni bora mno
 
https://www.businessdailyafrica.com/...pbz/index.html

We are working with the Bogota model which is advanced and better timed than Dar es Salaam is,” said Namata CEO James Ng'ang'a.


Aaraldi;147064199 said:
I thought about the exact same article when I was seeing the picture above. The Tanzanian members will have a schadenfreudegasm when they find out about this :lol:

Snowlion;147066225 said:
^^

Shhhh!!! We no gonna tell them if you don't.:lol::lol:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…