Construction of Nairobi BRT has started. Real the best in Africa

Vituko indeed brt ya kuchora na rangi loh!
Kama brt zote zingekuwa hivyo mbona kila siku magu angekuwa anazindua tu ma brt mapya
Ha ha ha ebu niambie yaaani kama pale mbezi 2way ya upande mmoja waandike BRT au inakuwaje, ni kweli jam la nairobi limezidi sana.
 
mimi sioni shida hapo...hata BRT za ulaya ziko ivo tu na stations zimejengwa ,kenya tuko na barabara mzuri so kutenga part moja ya road sioni kosa,ama mlitaka ijengwe kama ile ya tz ambazo lanes zimezungukwa na tofali !!!
Mjomba check pictures on comment #4 and #5. Pls stop acting like a stupid dimwit. You don't belong there.Can u see any bricks/on those pics
 
Ili ujue wapo sawa au laah ni lazima ujue nini hasa lengo la BRT ukiondoa mbwembwe za vituo.
Lengo kubwa la BRT ni kuharakisha usafiri kwa kupunguza muda wa msafiri kuwa njiani.Na hiyo huwa inafanyika kwa kupunguza muingiliano wa magari yanaoyonyoosha katika barabara na yanayokatiza barabara.Hii huwa inafanyika kwa kupunguza access ya magari yanayotoka pembeni na kuingia barabara kuu(BRT).
Kujenga kama Dar au kuchora kama kenya inategemea na miundombinu iliyokuepo mwanzo kwa kuwa inatakiwa iweze kua-accomodate magari yote.Kwa Dar ilikuwa lazima wajenge upya hasa nature ya barabara iliyokuepo kwa kuwa BRT ipo sana favoured na barabara iliyojengwa kwa zege kwa kuwa huwa kunakuwa na high repeatation ya magari kupita na pale ilikuepo flexible pavement.So Dar kujenga vile hakufanyi Kenya kutokuwa sahihi kujenga vile.
 
Mjomba check pictures on comment #4 and #5. Pls stop acting like a stupid dimwit. You don't belong there.Can u see any bricks/on those pics
Kutokuwepo bricks hakufanyi isiitwe BRT.hizo huwa zinawekwa kupunguza muingiliano hasa kwa madereva wa Kiafrika kwa kuwa huwa hawafati utaratibu hivyo unawalzamisha wasiingilie BRT kwa kuweka bricks ila kama madereva ni waelewa hakuna haja ya kuweka Bricks mistari tu inatosha.
 
Kenya stuff is not BRT but a dedication of an express lane though wondering where will be bus stops? I see juakali mentality over their approach.
 
mimi sioni shida hapo...hata BRT za ulaya ziko ivo tu na stations zimejengwa ,kenya tuko na barabara mzuri so kutenga part moja ya road sioni kosa,ama mlitaka ijengwe kama ile ya tz ambazo lanes zimezungukwa na tofali !!!
Hapo mngesema mmetenga baadhi ya barabara na siyo kusema sijui Colombia kumefanyaje.
 
Kenya stuff is not BRT but a dedication of an express lane though wondering where will be bus stops? I see juakali mentality on their approach.
[emoji16][emoji16][emoji16].Sijaiona ilivyo by the way sipo Kenya ila yawezekana upo sahihi kuwa ni express way hasa kama hakuna miundombinu itakayopunguza mtu kukaa kituoni muda mrefu.lakini lengo lao la kullpunguza kukaa kwenye foleni si litafanikiwa?
 
BRT is a complete organised system of public transport, well researched, designed and its own system of management, hakuna ubabaishaji katika hilo, ni lazima ukidhi vigezo vyote muhimu, sio kuchagua kipi utekeleze na kipi usitekeleze, ukishindwa kukidhi vigezo hupaswi kuita BRT, kuna system nyingi tu za peblic transportation mijini, kama Tram, SBS, dedicated lanes, zote lengo ni kusafirisha watu haraka, lakini sio BRT.
 
You are right Mr.I think wat they are doing there its just a sample of BRt project
 
Wimbo wa wana Dar is slum eti ooh tuko na brt,brt tumeizima kabisa.
Mtatuambia yepi kwa sasa manake yote mloyasema kuhusu brt ni ulimbukeni,BRT nairobi ndio murua kabisa Africa nzima!
Nairobi hoyeeee!!!
duh!!brt ya kuchora??what a https://jamii.app/JFUserGuide??
 
Hii ndo BRT sasa achana na ile ya makopo ya rangi ya pink.....! na ikikamilika mbona jirani hana bahati! Na ile yake ya kupaka rangi eti BRT ONLY.. hahaha, TZ tunakimbiza mwizi kimya kimya! hakuna kelele!
 
Tena sema THE LONGEST sio kama kale kenu ka kilomita ishirini...More than quadruple hako kenu TENA on different Highways in Nairobi.
We have dethroned you and taken what is rightfully ours in record time.

Ahaaa haaa haaa
Be serious guy, I'm not talking about the bicycle lane of yours. But BRT like of DAR.... an orderly pattern of transportation facilities.
 
Ahaaa haaa haaa
Utapandia wapi wakati haina bus stops wala ticketing facilities.

CC: mulisaaa Mwasiti anajiandaa na hafla ya UZINGUZI wa modernised BRT.
Toa sababu yakutumia zege !! Asphalt inatumika kwenye top layer kama inavyo fanywa kwenye viwanja vya ndege vya ndege kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…