Ili ujue wapo sawa au laah ni lazima ujue nini hasa lengo la BRT ukiondoa mbwembwe za vituo.
Lengo kubwa la BRT ni kuharakisha usafiri kwa kupunguza muda wa msafiri kuwa njiani.Na hiyo huwa inafanyika kwa kupunguza muingiliano wa magari yanaoyonyoosha katika barabara na yanayokatiza barabara.Hii huwa inafanyika kwa kupunguza access ya magari yanayotoka pembeni na kuingia barabara kuu(BRT).
Kujenga kama Dar au kuchora kama kenya inategemea na miundombinu iliyokuepo mwanzo kwa kuwa inatakiwa iweze kua-accomodate magari yote.Kwa Dar ilikuwa lazima wajenge upya hasa nature ya barabara iliyokuepo kwa kuwa BRT ipo sana favoured na barabara iliyojengwa kwa zege kwa kuwa huwa kunakuwa na high repeatation ya magari kupita na pale ilikuepo flexible pavement.So Dar kujenga vile hakufanyi Kenya kutokuwa sahihi kujenga vile.