Construction of Nairobi BRT has started. Real the best in Africa

Construction of Nairobi BRT has started. Real the best in Africa

Ili ujue wapo sawa au laah ni lazima ujue nini hasa lengo la BRT ukiondoa mbwembwe za vituo.
Lengo kubwa la BRT ni kuharakisha usafiri kwa kupunguza muda wa msafiri kuwa njiani.Na hiyo huwa inafanyika kwa kupunguza muingiliano wa magari yanaoyonyoosha katika barabara na yanayokatiza barabara.Hii huwa inafanyika kwa kupunguza access ya magari yanayotoka pembeni na kuingia barabara kuu(BRT).
Kujenga kama Dar au kuchora kama kenya inategemea na miundombinu iliyokuepo mwanzo kwa kuwa inatakiwa iweze kua-accomodate magari yote.Kwa Dar ilikuwa lazima wajenge upya hasa nature ya barabara iliyokuepo kwa kuwa BRT ipo sana favoured na barabara iliyojengwa kwa zege kwa kuwa huwa kunakuwa na high repeatation ya magari kupita na pale ilikuepo flexible pavement.So Dar kujenga vile hakufanyi Kenya kutokuwa sahihi kujenga vile.
Alafu kwaulicho kiandika ingekuwa ni mtihani unategemea mwalimu akupe marks.
 
Kutokuwepo bricks hakufanyi isiitwe BRT.hizo huwa zinawekwa kupunguza muingiliano hasa kwa madereva wa Kiafrika kwa kuwa huwa hawafati utaratibu hivyo unawalzamisha wasiingilie BRT kwa kuweka bricks ila kama madereva ni waelewa hakuna haja ya kuweka Bricks mistari tu inatosha.
Umeambiwa yetu ni Bricks ? Very stupid !
 
[emoji16][emoji16][emoji16].Sijaiona ilivyo by the way sipo Kenya ila yawezekana upo sahihi kuwa ni express way hasa kama hakuna miundombinu itakayopunguza mtu kukaa kituoni muda mrefu.lakini lengo lao la kullpunguza kukaa kwenye foleni si litafanikiwa?
litafanikiwa kivipi ??
 
[emoji16][emoji16][emoji16].Sijaiona ilivyo by the way sipo Kenya ila yawezekana upo sahihi kuwa ni express way hasa kama hakuna miundombinu itakayopunguza mtu kukaa kituoni muda mrefu.lakini lengo lao la kullpunguza kukaa kwenye foleni si litafanikiwa?
Sasa mabasi yakitaka kushusha abiria inakuwaje? Utoke inner lane uende outer Lane sio? Au unawashusha halafu abiria wanavuka hIghtway?
 
Ahaaa haaa haaa
Be serious guy, I'm not talking about the bicycle lane of yours. But BRT like of DAR.... an orderly pattern of transportation facilities.
At the moment ours is superior and longer than yours. Next.
 
Corruption will never come to an end in Kenya..!!

Is this BRT ? This is joke
 
Toa sababu yakutumia zege !! Asphalt inatumika kwenye top layer kama inavyo fanywa kwenye viwanja vya ndege vya ndege kubwa

Mostly zege is preferable because maintenance yake haipo as complicated as asphalt. And oil spillage which mostly affects the Tarmac can easily be controlled. But pia load transmission yake huwa inaishia kwenye zege pekee so it does not affect the sub base,sub grade and other layers. So for further and elongated time they can be used.

But asphalt takes load to the ground "that's why it's a flexible" when you opt for this one then all of beneath layers has to well prepared. Bottom line is that functionality between the two zippo okay
 
Mabasi yatakuja lini ili tuje kuhudhuria sherehe za UZINGUZI?
Ila KUWA makini msije mkauziwa mikangafu kama ya SGR!!
 
images (24).jpeg
 
Back
Top Bottom