Construction of Nairobi BRT has started. Real the best in Africa

Construction of Nairobi BRT has started. Real the best in Africa

Unless hujatembea. In many cities mere dedicated marked lanes for buses form their brt systems. Even city trams share lanes with ordinary traffic. It's the mindset of users my friend and not some sort of traffic apartheid!

Trams are not BRT that's number one. Again don't confuse the normal commuter busses with BRT simply bcoz these busses look like BRT busses
 
Vituko indeed brt ya kuchora na rangi loh!
Kama brt zote zingekuwa hivyo mbona kila siku magu angekuwa anazindua tu ma brt mapya

Hiyo BRT ya Tanganyika mmewekewa lane tofauti na kingo na vigingi pembeni kwa sababu hamko wastaarabu. Na tatizo lako wewe ni exposure tu. Ondoka kwenye hilo bubble mzeeiya.

Angalia hapa jinsi BRT ilivyo kwenye nchi ambayo watu ni wastaarabu na wanaheshimu sheria. Yaani hapa hadi kuna sehemu buses za BRT, magari ya watu binafsi, na trams zinapita kwenye barabara moja. Hakuna vigingi ama kingo za BRT.
 
Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    94.7 KB · Views: 35
  • image.jpeg
    image.jpeg
    141.6 KB · Views: 34
  • image.jpeg
    image.jpeg
    91.7 KB · Views: 35
  • image.jpeg
    image.jpeg
    312.4 KB · Views: 34
  • image.jpeg
    image.jpeg
    76.3 KB · Views: 33
  • image.jpeg
    image.jpeg
    59.4 KB · Views: 32
  • image.jpeg
    image.jpeg
    151.8 KB · Views: 36
  • image.jpeg
    image.jpeg
    139.8 KB · Views: 33
Hiyo BRT ya Tanganyika mmewekewa lane tofauti na kingo na vigingi pembeni kwa sababu hamko wastaarabu. Na tatizo lako wewe ni exposure tu. Ondoka kwenye hilo bubble mzeeiya.

Angalia hapa jinsi BRT ilivyo kwenye nchi ambayo watu ni wastaarabu na wanaheshimu sheria. Yaani hapa hadi kuna sehemu buses za BRT, magari ya watu binafsi, na trams zinapita kwenye barabara moja. Hakuna vigingi ama kingo za BRT.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
THE BRT is not only about dedicated lanes. It's an orderly pattern of transportation items suchlike bus stops, ticketing facilities, specialised lanes, separate traffic lights/road signs, programmed busses etc.
 
BRT ya Kenya na ile ya Great Britain zimefanana kabsaa. I don't see the reasons why some LDC losers are so much into our Great achievement unless they are jealous that their BRT song is suddenly OVER.
 
Kupaka rangi barabara nakuita brt ni achievements?
Africa Africa Africa nani alikuroga loh!
 
Unless hujatembea. In many cities mere dedicated marked lanes for buses form their brt systems. Even city trams share lanes with ordinary traffic. It's the mindset of users my friend and not some sort of traffic apartheid!
Wewe kweli ni kichwa ngumu, hongereni kwa new inversion/discoveries, subirini ugeni kutoka nchi mbali mbali kuja kujifunza BRT ya kuchora, it is the best model of BRT made in Kibera.
 
Back
Top Bottom