Hawa jirani "bus lanes" wanalazimisha kuwa BRT , wakati hakuna vituo vya kushusha na kupakia abiria n.k
Watembelee Dar-es-Salaam, Brussels au Paris waone BRT inavyotakiwa kuwa na siyo kuita ''bus lanes ' iliyopakwa rangi nyekundu ni sawa na BRT (mfumo maalum wa ushafirishaji wa abiria kwa mabus ya mwendo kasi )