Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,887
Kwa mawazo haya ya wakenya huwezi ukaukimbia msemo wa Trump. Wakiuliza ushahidi Trump anaweza kuutoa huu.Msemo wa Trump kweli hapa haukwepeki [emoji2]
Ni kama mtu amejenga nyumba ya nyasi halafu anaandika nyumba ya bati. Ni ukosefu wa mawazo kichwani (UMAKI)