Construction of Nairobi BRT has started. Real the best in Africa

yani watu watakufa sana aisee maana sijui watashuka wapi au upande upi alaf mbaya zaidi ni highway
7C80E077-C806-4779-8267-8E3BC6EE4834.jpeg
 
Why are you bongolalas raging and frothing here over Kenya's matter!? Dar's BRT layout or system need not be the encyclopedia of BRTs to be replicated in Nairobi. If the Nairobi initiative as a stop gap measure serves the purpose why not? We call that local solutions to local problems.
Kenya is not only way ahead of you in many things but also in PRAGMATISM!
jaman pokeeni na hili povu sijui lini Africa itapata akili aisee 😀😀😀😀😀
 
Now that our BRT is more swanky on a super highway and more pretty,the harlots are rattling like snakes
TUMEWASHIKA!!!!Now lets see mtakua mkisema nini oooh brt oooh brt,
Suit yourselves!
mmetushika au mumejishika wenyewe kwenye makende😀😀😀😀
 
This not how a BRT is built. You cant subdivide a road then label it "BRT". They should visit Dar and see the company incharge of brt, the infrastructure built, the buses procured and the business model behind it.
This is Just shit, unplanned reactionary nonesense that will fail terribly.
Aaah hiyo ni bus lane UK wanazitumia sana kila kona Kwa bus na taxi kupita, sema kuna camera gari ya kawaida ikipita unapigwa fine.
 
This not how a BRT is built. You cant subdivide a road then label it "BRT". They should visit Dar and see the company incharge of brt, the infrastructure built, the buses procured and the business model behind it.
This is Just shit, unplanned reactionary nonesense that will fail terribly.
hakuna cha ajabu... Brt Hi dedifater lanes kwa hizo basi

Iwe katikati au pembeni
 
Hahaha......hii ni aibu sasa,afadhali wangeacha tuishi bila hiyo brt kama aibu zemefikia hapa.lakini pia na nyinyi wa bongolala mkiona mwenzenu ana tatizo lazima mmuanike namna hii?
 
This not how a BRT is built. You cant subdivide a road then label it "BRT". They should visit Dar and see the company incharge of brt, the infrastructure built, the buses procured and the business model behind it.
This is Just shit, unplanned reactionary nonesense that will fail terribly.
Hahahaha
 
yani watu watakufa sana aisee maana sijui watashuka wapi au upande upi alaf mbaya zaidi ni highway
View attachment 735806
Labda huko pembeni kwenye majani ndio wataweka stand, alafu labda waweke uzio kutenganisha iyo brt na main road. Kazi si haba hapo.

Ni wazi kwamba ni wazo limekuja too late, but anything is possible. At least watakuwa na brt.
 
Kwanza barabara ya BRT chini inatangulia zege(concrete) then unaweza weka juu rami au ukaacha. Concrete inatumika kwasababu mabasi ni mazito.
Thika Superhigway walieka many layers za barabara including concrete mate.
 
Hahaha......hii ni aibu sasa,afadhali wangeacha tuishi bila hiyo brt kama aibu zemefikia hapa.lakini pia na nyinyi wa bongolala mkiona mwenzenu ana tatizo lazima mmuanike namna hii?
mumejianika wenyewe sisi sio matiangi😀😀
 
Back
Top Bottom