Contemporary Vyumba 3 Ndogo ya TOFALI na BATI Chache Sana & kiwanja Kidogo - Kuanzia Maisha na Kupangisha

Contemporary Vyumba 3 Ndogo ya TOFALI na BATI Chache Sana & kiwanja Kidogo - Kuanzia Maisha na Kupangisha

Nyumba Nafuuu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2016
Posts
408
Reaction score
437
Kijana, kabla ya mwaka Kuisha, songa mbele hatua moja ujenzi

Hii ni nyumba moja tuliyoandaa ya vyumba vitatu, compact Fulani kwa mtu anayetaka something classy - vyumba vitatu na open kitchen

Ukubwa - 91sqm
Urefu - 12.3m
Upana - 8.5m

Gharama Ujenzi Boma
- Msingi, kuta, plasta, Paa = TSh 20-28Milioni
- Gharama zinategemea na quality ya vifaa vyako, aina ya mafundi, eneo, quality ya Finishing...

MAWASILIANO: +255-657-685-268 Makazi Team


Ujenzi
  • tunao mafundi unaoweza wakodi toka kwetu wanakuja kujenga popote Tanzania
  • Tunafanya pia usimamizi wa ujenzi wako (tuna manage kila kitu, Ujenzi kwa awamu au pamoja, kutafuta mafundi, vifaa, kusimamia mafundi, kazi iende sawa... We kazi yako ni kulipia gharama tutakazokuwa tunakupa, risiti... Sharti uwe spidi Fasta) ambapo ada yetu ni 15% ya gharama Ujenzi

PXL_20241217_065709639~2.jpg


IMG-20241217-WA0015.jpg
IMG-20241217-WA0012.jpg
IMG-20241217-WA0017.jpg
IMG-20241217-WA0014.jpg
IMG-20241217-WA0016.jpg
IMG-20241217-WA0013.jpg
IMG-20241217-WA0017.jpg
 
Back
Top Bottom