Andika zaidi mkuu....nani anayefanya hio social engineering? Ni serikali? Wafanyabiashara? Watu binafsi? Wazungu? Ni Aliens? Au nani?Hiyo ni Social engineering, hayo mambo hayatokeitokei tu brother. Fungua macho angalia mbele..
Brother mbona unani tight sana 😂Andika zaidi mkuu....nani anayefanya hio social engineering? Ni serikali? Wafanyabiashara? Watu binafsi? Wazungu? Ni Aliens? Au nani?
Na wanaifanyaje?
Kwahiyo kwasababu watu wanataka ushoga na media nazo zianze kutangaza ushogahiyo ni biashara ,wanatuangalia sisi soko lao tunapenda nini ili wapate faida
kila radio ina kitu kinaitwa mchongo pesa
Kwan ni lazima kusikiliza hizo redio?Kama wiki mbili hivi sikuwa online kwenye social media hivyo nilipata wasaa wa kusikiliza redio zetu hapa nchini.
Katika wiki zote hizo mbili nilikua natune almost radio zote , ila vipindi vingi vya radio zetu vinafanana na sio elimishi, burudani imechukua sehemu kubwa na hasa uchambuzi wa mpira.
Asubuhi radio zote wanasoma magazeti na kuchambua habari. Hapa watangazaji wanatoa maoni binafsi bila kuwa na utaalam wowote wa maswala wanayoyazungumzia. Uwezekano wa kupotosha watu ni mkubwa sana. Haiwezekani mtu ukawa na ufahamu wa kila kitu, ndio maana media za nje huwa wanaalika wataalam kuzungumzia jambo kulingana na taaluma zao.
Baada ya vipindi vya magazeti, radio zote wataanza kuchambua mpira, mechi zote za ligi ya ndani na nje zitachambuliwa hapo ni masaa mawili.
Itafuatia muziki na porojo nyingine mpaka usiku tena, ambapo watarudia tena uchambuzi wa mpira na muziki.
Katika wiki zote hizo mbili na kusikiliza Radio mbali mbali ni siku moja tu nilibahatika kusikia content ya maana, hii ilikua Radio uhuru na walikua wanazungumza na mkurugenzi wa kampuni inayotoa huduma ya kuwapatia watu wafanyakazi wa ndani. Kile kipindi kilikua kizuri sana, na kilitoa mafunzo mengi mno.
Kwakweli naona kuna haja ya serikali kupitia wizara na taasisi zake kuweka miongozo ya content za media zetu otherwise tutakuwa na jamii yenye watu wa hovyo tu.
Haiwezekani siku nzima ni mijadala isiyokuwa na tija inaendelea kwenye media zetu.
Yaani ni mpira tuu siku nzima. Hii haikubaliki.
Unless tunataka tuwe na jamii ya kubet na mpira basi tuendelee namna hii ila kama tunataka kujenga Taifa lenye watu wanaojielewa na wanafanya mambo ya maana na sio wasindikizaji tu , tunapaswa kubadilika.
Unamiliki redio gani nikuletee proposal ya vipindi elimishi next month?. Ungekuwa mfanyakaz biashara wa hii sekta hata wewe ungekuwa mmoja waoKama wiki mbili hivi sikuwa online kwenye social media hivyo nilipata wasaa wa kusikiliza redio zetu hapa nchini.
Katika wiki zote hizo mbili nilikua natune almost radio zote , ila vipindi vingi vya radio zetu vinafanana na sio elimishi, burudani imechukua sehemu kubwa na hasa uchambuzi wa mpira.
Asubuhi radio zote wanasoma magazeti na kuchambua habari. Hapa watangazaji wanatoa maoni binafsi bila kuwa na utaalam wowote wa maswala wanayoyazungumzia. Uwezekano wa kupotosha watu ni mkubwa sana. Haiwezekani mtu ukawa na ufahamu wa kila kitu, ndio maana media za nje huwa wanaalika wataalam kuzungumzia jambo kulingana na taaluma zao.
Baada ya vipindi vya magazeti, radio zote wataanza kuchambua mpira, mechi zote za ligi ya ndani na nje zitachambuliwa hapo ni masaa mawili.
Itafuatia muziki na porojo nyingine mpaka usiku tena, ambapo watarudia tena uchambuzi wa mpira na muziki.
Katika wiki zote hizo mbili na kusikiliza Radio mbali mbali ni siku moja tu nilibahatika kusikia content ya maana, hii ilikua Radio uhuru na walikua wanazungumza na mkurugenzi wa kampuni inayotoa huduma ya kuwapatia watu wafanyakazi wa ndani. Kile kipindi kilikua kizuri sana, na kilitoa mafunzo mengi mno.
Kwakweli naona kuna haja ya serikali kupitia wizara na taasisi zake kuweka miongozo ya content za media zetu otherwise tutakuwa na jamii yenye watu wa hovyo tu.
Haiwezekani siku nzima ni mijadala isiyokuwa na tija inaendelea kwenye media zetu.
Yaani ni mpira tuu siku nzima. Hii haikubaliki.
Unless tunataka tuwe na jamii ya kubet na mpira basi tuendelee namna hii ila kama tunataka kujenga Taifa lenye watu wanaojielewa na wanafanya mambo ya maana na sio wasindikizaji tu , tunapaswa kubadilika.
Mkuu narudia tena hio ni kazi ya TBC na Redio Tanzania (watu binafsi na vipindi vyao wana mandate zao) kwa kufanya hivyo ukianza kupangiwa na kukatazwa habari za kuweka au kuweka habari za propanganda utarudi hapa useme hakuna demokrasia ?We
Unamiliki redio gani nikuletee proposal ya vipindi elimishi next month?. Ungekuwa mfanyakaz biashara wa hii sekta hata wewe ungekuwa mmoja wao
No I'm just curiousBrother mbona unani tight sana 😂
Naunga mkono. Ila hawa ni wafanyabiashara wanafuata wateja wao. Wateja wao wengi hawataki serious issues, wanataka mapambio, uchambuzi wa mipira, mipasho, utani, tamthiliya n.k/.Nafikiri ushauri ni kuongeza critical thinking ya Watanzania na seriousness kwenye mabo muhimu. Hiyo imawezekana pale tu elimu yetu na social priorities zitajikita huko.Kama wiki mbili hivi sikuwa online kwenye social media hivyo nilipata wasaa wa kusikiliza redio zetu hapa nchini.
Katika wiki zote hizo mbili nilikua natune almost radio zote , ila vipindi vingi vya radio zetu vinafanana na sio elimishi, burudani imechukua sehemu kubwa na hasa uchambuzi wa mpira.
Asubuhi radio zote wanasoma magazeti na kuchambua habari. Hapa watangazaji wanatoa maoni binafsi bila kuwa na utaalam wowote wa maswala wanayoyazungumzia. Uwezekano wa kupotosha watu ni mkubwa sana. Haiwezekani mtu ukawa na ufahamu wa kila kitu, ndio maana media za nje huwa wanaalika wataalam kuzungumzia jambo kulingana na taaluma zao.
Baada ya vipindi vya magazeti, radio zote wataanza kuchambua mpira, mechi zote za ligi ya ndani na nje zitachambuliwa hapo ni masaa mawili.
Itafuatia muziki na porojo nyingine mpaka usiku tena, ambapo watarudia tena uchambuzi wa mpira na muziki.
Katika wiki zote hizo mbili na kusikiliza Radio mbali mbali ni siku moja tu nilibahatika kusikia content ya maana, hii ilikua Radio uhuru na walikua wanazungumza na mkurugenzi wa kampuni inayotoa huduma ya kuwapatia watu wafanyakazi wa ndani. Kile kipindi kilikua kizuri sana, na kilitoa mafunzo mengi mno.
Kwakweli naona kuna haja ya serikali kupitia wizara na taasisi zake kuweka miongozo ya content za media zetu otherwise tutakuwa na jamii yenye watu wa hovyo tu.
Haiwezekani siku nzima ni mijadala isiyokuwa na tija inaendelea kwenye media zetu.
Yaani ni mpira tuu siku nzima. Hii haikubaliki.
Unless tunataka tuwe na jamii ya kubet na mpira basi tuendelee namna hii ila kama tunataka kujenga Taifa lenye watu wanaojielewa na wanafanya mambo ya maana na sio wasindikizaji tu , tunapaswa kubadilika.
Under capitalism, those who owns media decides the content.Kama wiki mbili hivi sikuwa online kwenye social media hivyo nilipata wasaa wa kusikiliza redio zetu hapa nchini.
Katika wiki zote hizo mbili nilikua natune almost radio zote , ila vipindi vingi vya radio zetu vinafanana na sio elimishi, burudani imechukua sehemu kubwa na hasa uchambuzi wa mpira.
Asubuhi radio zote wanasoma magazeti na kuchambua habari. Hapa watangazaji wanatoa maoni binafsi bila kuwa na utaalam wowote wa maswala wanayoyazungumzia. Uwezekano wa kupotosha watu ni mkubwa sana. Haiwezekani mtu ukawa na ufahamu wa kila kitu, ndio maana media za nje huwa wanaalika wataalam kuzungumzia jambo kulingana na taaluma zao.
Baada ya vipindi vya magazeti, radio zote wataanza kuchambua mpira, mechi zote za ligi ya ndani na nje zitachambuliwa hapo ni masaa mawili.
Itafuatia muziki na porojo nyingine mpaka usiku tena, ambapo watarudia tena uchambuzi wa mpira na muziki.
Katika wiki zote hizo mbili na kusikiliza Radio mbali mbali ni siku moja tu nilibahatika kusikia content ya maana, hii ilikua Radio uhuru na walikua wanazungumza na mkurugenzi wa kampuni inayotoa huduma ya kuwapatia watu wafanyakazi wa ndani. Kile kipindi kilikua kizuri sana, na kilitoa mafunzo mengi mno.
Kwakweli naona kuna haja ya serikali kupitia wizara na taasisi zake kuweka miongozo ya content za media zetu otherwise tutakuwa na jamii yenye watu wa hovyo tu.
Haiwezekani siku nzima ni mijadala isiyokuwa na tija inaendelea kwenye media zetu.
Yaani ni mpira tuu siku nzima. Hii haikubaliki.
Unless tunataka tuwe na jamii ya kubet na mpira basi tuendelee namna hii ila kama tunataka kujenga Taifa lenye watu wanaojielewa na wanafanya mambo ya maana na sio wasindikizaji tu , tunapaswa kubadilika.
Radio na vituo vya TV ni kama wamekuwa mawakala wa betting games na vijana wamegeuza hiyo ni ajiraKama wiki mbili hivi sikuwa online kwenye social media hivyo nilipata wasaa wa kusikiliza redio zetu hapa nchini.
Katika wiki zote hizo mbili nilikua natune almost radio zote , ila vipindi vingi vya radio zetu vinafanana na sio elimishi, burudani imechukua sehemu kubwa na hasa uchambuzi wa mpira.
Asubuhi radio zote wanasoma magazeti na kuchambua habari. Hapa watangazaji wanatoa maoni binafsi bila kuwa na utaalam wowote wa maswala wanayoyazungumzia. Uwezekano wa kupotosha watu ni mkubwa sana. Haiwezekani mtu ukawa na ufahamu wa kila kitu, ndio maana media za nje huwa wanaalika wataalam kuzungumzia jambo kulingana na taaluma zao.
Baada ya vipindi vya magazeti, radio zote wataanza kuchambua mpira, mechi zote za ligi ya ndani na nje zitachambuliwa hapo ni masaa mawili.
Itafuatia muziki na porojo nyingine mpaka usiku tena, ambapo watarudia tena uchambuzi wa mpira na muziki.
Katika wiki zote hizo mbili na kusikiliza Radio mbali mbali ni siku moja tu nilibahatika kusikia content ya maana, hii ilikua Radio uhuru na walikua wanazungumza na mkurugenzi wa kampuni inayotoa huduma ya kuwapatia watu wafanyakazi wa ndani. Kile kipindi kilikua kizuri sana, na kilitoa mafunzo mengi mno.
Kwakweli naona kuna haja ya serikali kupitia wizara na taasisi zake kuweka miongozo ya content za media zetu otherwise tutakuwa na jamii yenye watu wa hovyo tu.
Haiwezekani siku nzima ni mijadala isiyokuwa na tija inaendelea kwenye media zetu.
Yaani ni mpira tuu siku nzima. Hii haikubaliki.
Unless tunataka tuwe na jamii ya kubet na mpira basi tuendelee namna hii ila kama tunataka kujenga Taifa lenye watu wanaojielewa na wanafanya mambo ya maana na sio wasindikizaji tu , tunapaswa kubadilika.
Mkuu tulipofikia watu wanaishi Kwa kutegemeana .. ujinga wako Ndio fursa yangu! Hapa Ndio tulipofikia kama Taifa ! Media nazo zimeingia kwenye Mkumbo huu Hatari Kwa Ustawi wa Taifa!Kama wiki mbili hivi sikuwa online kwenye social media hivyo nilipata wasaa wa kusikiliza redio zetu hapa nchini.
Katika wiki zote hizo mbili nilikua natune almost radio zote , ila vipindi vingi vya radio zetu vinafanana na sio elimishi, burudani imechukua sehemu kubwa na hasa uchambuzi wa mpira.
Asubuhi radio zote wanasoma magazeti na kuchambua habari. Hapa watangazaji wanatoa maoni binafsi bila kuwa na utaalam wowote wa maswala wanayoyazungumzia. Uwezekano wa kupotosha watu ni mkubwa sana. Haiwezekani mtu ukawa na ufahamu wa kila kitu, ndio maana media za nje huwa wanaalika wataalam kuzungumzia jambo kulingana na taaluma zao.
Baada ya vipindi vya magazeti, radio zote wataanza kuchambua mpira, mechi zote za ligi ya ndani na nje zitachambuliwa hapo ni masaa mawili.
Itafuatia muziki na porojo nyingine mpaka usiku tena, ambapo watarudia tena uchambuzi wa mpira na muziki.
Katika wiki zote hizo mbili na kusikiliza Radio mbali mbali ni siku moja tu nilibahatika kusikia content ya maana, hii ilikua Radio uhuru na walikua wanazungumza na mkurugenzi wa kampuni inayotoa huduma ya kuwapatia watu wafanyakazi wa ndani. Kile kipindi kilikua kizuri sana, na kilitoa mafunzo mengi mno.
Kwakweli naona kuna haja ya serikali kupitia wizara na taasisi zake kuweka miongozo ya content za media zetu otherwise tutakuwa na jamii yenye watu wa hovyo tu.
Haiwezekani siku nzima ni mijadala isiyokuwa na tija inaendelea kwenye media zetu.
Yaani ni mpira tuu siku nzima. Hii haikubaliki.
Unless tunataka tuwe na jamii ya kubet na mpira basi tuendelee namna hii ila kama tunataka kujenga Taifa lenye watu wanaojielewa na wanafanya mambo ya maana na sio wasindikizaji tu , tunapaswa kubadilika.
Wajanja wanaonufaika na ujinga!Andika zaidi mkuu....nani anayefanya hio social engineering? Ni serikali? Wafanyabiashara? Watu binafsi? Wazungu? Ni Aliens? Au nani?
Na wanaifanyaje?