Content Za Baba Levo Marekani ni Bora sana Kuliko Za Mwijaku hadi unahisi Baba Levo ndio Msomi ,

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Katika mjadala wa utofauti wa elimu nchini Tanzania, kuna dhahiri kwamba safari ya Baba Levo Marekani inaonyesha tofauti kubwa kati ya wasomi na wale wasio na elimu rasmi. Baba Levo anatumia mbinu nzuri katika kutangaza makampuni yaliyompa udhamini, na anajulikana kwa ufanisi wake.

Kwa upande mwingine, Mwijaku amekuwa na maudhui yasiyoeleweka, mara nyingi akitumia lugha chafu ambayo inatia aibu kwa taifa. Hii inaonyesha kwamba elimu rasmi pekee haitoshi; nidhamu na maadili ni muhimu pia.

Wasomi wanapaswa kujiuliza ni kwanini elimu yao haitumiki vyema katika kujenga jamii. Elimu ya mtaa ina umuhimu mkubwa na mara nyingi watu wa aina hii wana nidhamu na heshima, jambo ambalo linapaswa kuthaminiwa.

Ni wakati wa kubadili mtazamo wetu kuhusu ufahamu na mchango wa kila mtu katika jamii, bila kujali kiwango cha elimu alichonacho.
 
Shule au darasani ni sehemu elimu inapotolewa ila Elimu inapatikana kila sehemu.

Baba Levo anaweza kuwa hana Elimu ukimaanisha vyeti Ila anaweza kupata Elimu kubwa kumzidi aliyekaa darasani endapo akiamua kuzingatia kujituma.

Huwa kuna watu wanasema yule kafanikiwa na hana Elimu -hii huwa tunakosea tunabidi tuseme kafanikiwa Ila hana vyeti.

Baba Levo akiamua kuwa bora anaweza kufika mbali zaidi ya hapo walipo wengi wenye vyeti.

Mfano Mirradayo amesoma Ila sifikirii Kama Ana degree Ila ukitazama ufanisi wake wa kazi upo juu Sana.

Hivyo concept ya Elimu inabidi kusomeka hivi.

"Shule au chuoni ni mahala elimu inatolewa Ila elimu Kama kama elimu ipo kila mahala"
 
Uko sahihi sana na makaratasi hua yanatudanganya sana, certificate, diploma, degree , masters na phd hizi ni elimu ambazo kimsingi kukupa maarifa kamili haziwezi ,ndio maana Ruge alikua anaibua vipaji kuliko kuangalia vyeti , lakini pia nimekumbuka Baba levo akiwa kigoma aliwahi kua ripota wa millard Ayo nadhani anapita mulemule kwenye mbinu za mtaa ambazo zina matunda makubwa , hata msomi ukiwa na vyeti ukataka kufuzu elimu ya mtaa halafu ukazichanganya pamoja unafika mbali sana
 
Uko sahihi sana na makaratasi hua yanatudanganya sana, certificate, dilpoma, degree , masters na phd hizi ni elimu ambazo kimsingi kukupa maarifa kamili haziwezi ,ndio maana Ruge alikua anaibua vipaji kuliko kuangalia vyeti , lakini pia nimekumbuka Baba levo akiwa kigoma aliwahi kua ripota wa millard Ayo nadhani anapita mulemule kwenye mbinu za mtaa ambazo zina matunda makubwa , hata msomi ukiwa na vyeti ukataka kufuzu elimu ya mtaa halafu ukazichanganya pamoja unafika mbali sana
Mtaji Elimu mengine tunachangamsha genge tu haijalishi unaipokea kwa vyeti au bila vyeti
 
Shule au chuoni ni mahala elimu inatolewa Ila elimu Kama kama elimu ipo kila mahala
Elimu inapatikana popote penye mfundishaji kumbuka kuna formal na informal usisahau formal ndio hio ili wakupe kazi tuonyeshe vyeti informal ili upate kazi tuonyeshe unachoweza naweza kuimba haya imba tukusikie hakuna sehemu utasema naweza kuimba wakakwambia tupe vyeti vyako vya TASUBA usisahau kuimba ni kazi ila wanaoimba nenda ukamwambie hata mmoja akuoneshe cheti cha chuo alichofuzu kuimba hana anatumia tu informal education ya kuungaunga hapa na pale kalinganisha ala na sauti tayari anapeleka kwa walaji ukimwambia hata nota gani zimetumika kwenye wimbo wake hajui
 
Katika mjadala wa utofauti wa elimu nchini Tanzania, kuna dhahiri kwamba safari ya Baba Levo Marekani inaonyesha tofauti kubwa kati ya wasomi na wale wasio na elimu rasmi. Baba Levo anatumia mbinu nzuri katika kutangaza makampuni yaliyompa udhamini, na anajulikana kwa ufanisi wake.

Kwa upande mwingine, Mwijaku amekuwa na maudhui yasiyoeleweka, mara nyingi akitumia lugha chafu ambayo inatia aibu kwa taifa. Hii inaonyesha kwamba elimu rasmi pekee haitoshi; nidhamu na maadili ni muhimu pia.

Wasomi wanapaswa kujiuliza ni kwanini elimu yao haitumiki vyema katika kujenga jamii. Elimu ya mtaa ina umuhimu mkubwa na mara nyingi watu wa aina hii wana nidhamu na heshima, jambo ambalo linapaswa kuthaminiwa.

Ni wakati wa kubadili mtazamo wetu kuhusu ufahamu na mchango wa kila mtu katika jamii, bila kujali kiwango cha elimu alichonacho.
Sawa usisomeshe mwanao sawa.
 
Education is better than money?
Education is the key to knowledge, then that knowledge helps you to acquire money in either way , like innovating or bringing solutions to the society,
The matter is type of education you got , is it talent based education or theoretical education , and how do you apply such education ? Note: the education we are talking is how you evaluate things, your capacity to understand issues there are many to consider on that context,
 
Money is better than education?
 
Elimu inapatikana popote penye mfundishaji kumbuka kuna formal na informal usisahau formal ndio hio ili wakupe kazi tuonyeshe vyeti informal ili upate kazi tuonyeshe unachoweza naweza kuimba haya imba tukusikie hakuna sehemu utasema naweza kuimba wakakwambia tupe vyeti vyako vya TASUBA usisahau kuimba ni kazi ila wanaoimba nenda ukamwambie hata mmoja akuoneshe cheti cha chuo alichofuzu kuimba hana anatumia tu informal education ya kuungaunga hapa na pale kalinganisha ala na sauti tayari anapeleka kwa walaji ukimwambia hata nota gani zimetumika kwenye wimbo wake hajui

Ukiona MTU amekuzidi mafanikio ujue kakuzidi Elimu pia

Kama unvyomuona diamond maana yake Ana elimu kubwa ya muziki

Ukiona MTU kakuacha eneo lolote huyo aliokuacha kakuzidi elimu
 
Sasa hapo umeanza kumix vitu vitu mkuu kinachotokea ni kitu kimoja ambacho hukielewi kwanza sikupingi ila nipende kukuweka sawa kitu kimoja elimu sio km unavyoichukulia kuna watu wana elimu ya mziki kuzidi huyo uliemtaja ila shida inakuja sehemu moja ya branding & marketing plus exposure & promotion km utanielewa kidogo walau yeye km yeye asingefika hapo bila watu wenye kulijua soko la muziki lipoje hapo kabla hajafika alipo usiseme alikua na elimu unaelewa kuna watu wana elimu ndio wanaompa muongozo vuka hapa pita hapa kanyaga pale unaelewa kitu sema ulichotakiwa kusema mtu asie na elimu nyuma yake kukiwa na mtu mwenye elimu akamuongoza vyema basi lazima afikie mafanikio yake, nimeeleza kiufupi sana maana hili suala ni pana sana kulielezea katika mwangaza wa elimu na kipaji je kipaji bila elimu kinakufukisha popote?
 
Shida watu bado wanaamini vyeti kuliko uelewa na ufahamu wa mambo , kumiliki vyeti sio kuelemika Leo kuna watu wengi wameleta matokeo duniani na hawana hata cheti kimoja
 
Sasa hapo umeanza kumix vitu vitu mkuu kinachotokea ni kitu kimoja ambacho hukielewi kwanza sikupingi ila nipende kukuweka sawa kitu kimoja elimu sio km unavyoichukulia kuna watu wana elimu ya mziki kuzidi huyo uliemtaja ila shida inakuja sehemu moja ya branding & marketing plus exposure & promotion km utanielewa kidogo walau yeye km yeye asingefika hapo bila watu wenye kulijua soko la muziki lipoje hapo kabla hajafika alipo usiseme alikua na elimu unaelewa kuna watu wana elimu ndio wanaompa muongozo vuka hapa pita hapa kanyaga pale unaelewa kitu sema ulichotakiwa kusema mtu asie na elimu nyuma yake kukiwa na mtu mwenye elimu akamuongoza vyema basi lazima afikie mafanikio yake, nimeeleza kiufupi sana maana hili suala ni pana sana kulielezea katika mwangaza wa elimu na kipaji je kipaji bila elimu kinakufukisha popote?

Ukiona MTU kakuzi mafanikio ujue kakuzi Elimu.

Kuna watu huo mziki wameusonea na branding ,marketing wapo vizuri Ila hawafiki globally

Mfano Juma Jux Ana degree na pesa IPO je amefanikiwa kulishika soko la muziki?

Diamond yeye Ana Elimu kubwa Sana anajua nifanye nini wakati huu

Niachie nyimbo gani

N.k

Sehemu yoyote katika career ukiona MTU yupo mbele yako fahamu tu kakuzidi Elimu.
 
Kuna kitu hatuelewani ila ngoja nikuache maana naona hapa tutakesha kuna kitu haukielewi ila siku ukikaa ukachakata akili utaelewa Jambo kuna vitu vingi hauvielewi mkuu nakupa heshima yako ila endelea kujifunza kuna vitu haujui au vinakupita bila kujua na kuvijua au unavipuuza
 
What's your perception on such concept , answers may differ from one another, never bound concepts to a single room,
Education is better than money or money is better than education?
 
Back
Top Bottom