DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Shida watu bado wanaamini vyeti kuliko uelewa na ufahamu wa mambo , kumiliki vyeti sio kuelemika Leo kuna watu wengi wameleta matokeo duniani na hawana hata cheti kimoja
Kuwa na Elimu ni vizuri Mimi naunga mkono watu wasome Sana .
Ila tukubali MTU akikuzidi unbidi kukubali kakuzidi maarifa hajalishi amefanyaje.
MTU Kama diamond Elimu yake kuhusu mziki ni kubwa Sana
Watu Kama wale ni genius