DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Oct 11, 2024 #21 Arovera said: Shida watu bado wanaamini vyeti kuliko uelewa na ufahamu wa mambo , kumiliki vyeti sio kuelemika Leo kuna watu wengi wameleta matokeo duniani na hawana hata cheti kimoja Click to expand... Kuwa na Elimu ni vizuri Mimi naunga mkono watu wasome Sana . Ila tukubali MTU akikuzidi unbidi kukubali kakuzidi maarifa hajalishi amefanyaje. MTU Kama diamond Elimu yake kuhusu mziki ni kubwa Sana Watu Kama wale ni genius
Arovera said: Shida watu bado wanaamini vyeti kuliko uelewa na ufahamu wa mambo , kumiliki vyeti sio kuelemika Leo kuna watu wengi wameleta matokeo duniani na hawana hata cheti kimoja Click to expand... Kuwa na Elimu ni vizuri Mimi naunga mkono watu wasome Sana . Ila tukubali MTU akikuzidi unbidi kukubali kakuzidi maarifa hajalishi amefanyaje. MTU Kama diamond Elimu yake kuhusu mziki ni kubwa Sana Watu Kama wale ni genius
P Pisila JF-Expert Member Joined Sep 18, 2021 Posts 1,799 Reaction score 3,196 Oct 11, 2024 #22 Baba levo ukimfuatilia kwa makini utagundua yupo smart sana.