Allah ana mambo ya ajabu kweli...anatengeneza tatizo then anajifanya anatatua.Mungu anawaumba masikini. Hapo hapo anawaumba matajiri. (MAANA KILA KITU KINATOKA KWA MUNGU NDIVYO DINI INAVYOFUNDISHA) MasiKIni hawana kitu. matajiri wana kitu.
Ili matajiri waende mbinguni, wanawafuturisha/wanawasaidia masikini na kupata thawabu kwa Mungu ili waingie mbinguni! Kwanini Mungu atumie njia hiyo ?
CONTRADICTION KUBWA SANA
Kwanini pilipli iliyo shambani yakuwasha? Mind your business and be happyMungu anawaumba masikini. Hapo hapo anawaumba matajiri. (MAANA KILA KITU KINATOKA KWA MUNGU NDIVYO DINI INAVYOFUNDISHA) MasiKIni hawana kitu. matajiri wana kitu.
Ili matajiri waende mbinguni, wanawafuturisha/wanawasaidia masikini na kupata thawabu kwa Mungu ili waingie mbinguni! Kwanini Mungu atumie njia hiyo ?
CONTRADICTION KUBWA SANA
Ukimuondoa Mumgu cobtradictions zote hizo zinaisha.Mungu anawaumba masikini. Hapo hapo anawaumba matajiri. (MAANA KILA KITU KINATOKA KWA MUNGU NDIVYO DINI INAVYOFUNDISHA) MasiKIni hawana kitu. matajiri wana kitu.
Ili matajiri waende mbinguni, wanawafuturisha/wanawasaidia masikini na kupata thawabu kwa Mungu ili waingie mbinguni! Kwanini Mungu atumie njia hiyo ?
CONTRADICTION KUBWA SANA
jibu hoja, usilete revelationsAchana na MUNGU wewe MUNGU humuwezi achana naye huyo
Utataabika bure tu kaka
Mwamini YESU KRISTO upone
nataka logic behindKwahio hutaki kufturu au ! Hahahahah
Unaambiwa futari ya sasa nyingi inatoka kwa wauza sembe, Patamu hapo!Mungu anawaumba masikini. Hapo hapo anawaumba matajiri. (MAANA KILA KITU KINATOKA KWA MUNGU NDIVYO DINI INAVYOFUNDISHA) MasiKIni hawana kitu. matajiri wana kitu.
Ili matajiri waende mbinguni, wanawafuturisha/wanawasaidia masikini na kupata thawabu kwa Mungu ili waingie mbinguni! Kwanini Mungu atumie njia hiyo ?
CONTRADICTION KUBWA SANA
Mungu anawaumba masikini. Hapo hapo anawaumba matajiri. (MAANA KILA KITU KINATOKA KWA MUNGU NDIVYO DINI INAVYOFUNDISHA) MasiKIni hawana kitu. matajiri wana kitu.
Ili matajiri waende mbinguni, wanawafuturisha/wanawasaidia masikini na kupata thawabu kwa Mungu ili waingie mbinguni! Kwanini Mungu atumie njia hiyo ?
CONTRADICTION KUBWA SANA
Utajiri au umaskini ni njia ambayo Mungu kawekea kanuni... hakuna Mungu anaependa watu wawe Maskini, Unaskini ni chukizo mbele za Mungu japo sio dhambi.Mungu anawaumba masikini. Hapo hapo anawaumba matajiri. (MAANA KILA KITU KINATOKA KWA MUNGU NDIVYO DINI INAVYOFUNDISHA) MasiKIni hawana kitu. matajiri wana kitu.
Ili matajiri waende mbinguni, wanawafuturisha/wanawasaidia masikini na kupata thawabu kwa Mungu ili waingie mbinguni! Kwanini Mungu atumie njia hiyo ?
CONTRADICTION KUBWA SANA
Tuishi TU tuache ku-judge Habari na Uwepo wa Mungu ..yote ya yote amini Mungu yupo na ajawai fanya vitu kwa mihemko na hisia . kamwe huwezi mpangia chakufanyaMungu anawaumba masikini. Hapo hapo anawaumba matajiri. (MAANA KILA KITU KINATOKA KWA MUNGU NDIVYO DINI INAVYOFUNDISHA) MasiKIni hawana kitu. matajiri wana kitu.
Ili matajiri waende mbinguni, wanawafuturisha/wanawasaidia masikini na kupata thawabu kwa Mungu ili waingie mbinguni! Kwanini Mungu atumie njia hiyo ?
CONTRADICTION KUBWA SANA
simple reasoning , kushindwa reasoning...... kama huyo Mungu yupo, naye hataki watu wasio hoji mamboTuishi TU tuache ku-judge Habari na Uwepo wa Mungu ..yote ya yote amini Mungu yupo na ajawai fanya vitu kwa mihemko na hisia . kamwe huwezi mpangia chakufanya
nataka logic behind