Contradiction, yaani Mungu anawaumba masikini ili matajiri watoe sadaka/wafuturishe ili Matajiri/wafuturishaji wapate thawabu kwa Mungu?

Mungu anawaumba masikini. Hapo hapo anawaumba matajiri. (MAANA KILA KITU KINATOKA KWA MUNGU NDIVYO DINI INAVYOFUNDISHA) MasiKIni hawana kitu. matajiri wana kitu.

Ili matajiri waende mbinguni, wanawafuturisha/wanawasaidia masikini na kupata thawabu kwa Mungu ili waingie mbinguni! Kwanini Mungu atumie njia hiyo ?

CONTRADICTION KUBWA SANA
Mwenyezi Mungu Amemuumba Mwanadamu na akampa Mitihani ili aweze kufaulu Angeweza kumfanya kila kiumbe vile apendavyo yote ni mapenzi yake.
Kuwa na Mali na kuwa na Masikini hayo nikatika Mitihani aliopewa Binadamu amepewa Ufahamu na Uhuru wa kuchagua ikiwa utahitaji Umasikini au Utajiri na amebainisha njia na Mwisho wa Binaadamu Ima Peponi au Motoni kwahiyo hayo ni maamuzi yako.
 
Ukisoma bible hiyo ni ahadi kuwa ukiwasaidia masikini hautokuwa miongoni mwao.

So scriptures cannot be broken
Na wewe kuwa maskini ili usaidiwe.

Kwa nini hukutaka na hutaki kuwa maskini ili usaidiwe?

Unaona sawa watu wengine kuwa maskini ili wasaidiwe, wakati wewe mwenyewe hutaki kuwa maskini wa kusaidiwa!!!

Your Bible is Nonsensical.
 
Duh

Yeye anakupenda sana hata alimtoa mwanae wa pekee kwa ajili yako dear
Maelfu ya watoto wadogo wasio na hatia yeyote ile wamekufa na wanaendelea kufa hapa duniani kwa magonjwa, vita, njaa, majanga ya asili n.k

Na huyo Mungu unayedai anatupenda hajawahi kusaidia chochote!!!

Huyo Mungu hana upendo wowote ule.

Huyo Mungu ni mkatili, muuaji, muovu, bandidu, sadist nunda na dikteta.

Huyo Mungu hafai kabisa anastahili kufurushwa huko alipo.
JamiiForums1832832046.jpeg
 
Mwenyezi Mungu Amemuumba Mwanadamu na akampa Mitihani ili aweze kufaulu Angeweza kumfanya kila kiumbe vile apendavyo yote ni mapenzi yake.
Mungu ambaye mnaamini yeye ni mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele, Anakupa mitihani ili agundue nini?

Huyo Mungu kuna kipi ambacho hakijui hadi akupime kwa kukupa mitihani?

Kama ni mapenzi yake, Basi mapenzi yake ni ya kijinga na kipumbavu sana.

Na huyo Mungu hajielewi kabisa.
Kuwa na Mali na kuwa na Masikini hayo nikatika Mitihani aliopewa Binadamu amepewa Ufahamu na Uhuru wa kuchagua ikiwa utahitaji Umasikini au Utajiri na amebainisha njia na Mwisho wa Binaadamu Ima Peponi au Motoni kwahiyo hayo ni maamuzi yako.
Hakuna binadamu anayehitaji umaskini.

Hakuna binadamu aliyetaka na anayependa kuwa maskini.
 
Kwanini pilipli iliyo shambani yakuwasha? Mind your business and be happy
This is a public forum where everyone can share his or her own views and opinions.

So if you don't like it, you are the one who should mind your business.

And let people share their opinions in peace.
 
Mungu anawaumba masikini. Hapo hapo anawaumba matajiri. (MAANA KILA KITU KINATOKA KWA MUNGU NDIVYO DINI INAVYOFUNDISHA) MasiKIni hawana kitu. matajiri wana kitu.

Ili matajiri waende mbinguni, wanawafuturisha/wanawasaidia masikini na kupata thawabu kwa Mungu ili waingie mbinguni! Kwanini Mungu atumie njia hiyo ?

CONTRADICTION KUBWA SANA
Masikini hajaumbwa. Kajitakia. Kama una siha njema kwanini uwe masikini. Umeandika mawazo ya kimasikini, mawazo ya wapenda dezo. Work hard escape poverty. Any comment against this opinion ni mawazo ya kimasikini. Galauka
 
Maelfu ya watoto wadogo wasio na hatia yeyote ile wamekufa na wanaendelea kufa hapa duniani kwa magonjwa, vita, njaa, majanga ya asili n.k

Na huyo Mungu unayedai anatupenda hajawahi kusaidia chochote!!!

Huyo Mungu hana upendo wowote ule.

Huyo Mungu ni mkatili, muuaji, muovu, bandidu, sadist nunda na dikteta.

Huyo Mungu hafai kabisa anastahili kufurushwa huko alipo.
View attachment 3282119
Hiyo ni mipango ya MUNGU ndugu yangu siyo kwamba MUNGU kakosa upendo hapana
 
Masikini hajaumbwa. Kajitakia.
Hawa watoto maskini wamejitakia kuwa hivi?

Au umeshiba makande yako una andika vitu bila kufikiri!!!
JamiiForums-890530179.jpeg

Kama una siha njema kwanini uwe masikini. Umeandika mawazo ya kimasikini, mawazo ya wapenda dezo. Work hard escape poverty. Any comment against this opinion ni mawazo ya kimasikini. Galauka
Sio kila maskini ana uwezo waku work hard.

Kuna watoto maskini, kuna walemavu maskini.

Je na hawa utasema wamejitakia?
 
Hiyo ni mipango ya MUNGU ndugu yangu siyo kwamba MUNGU kakosa upendo hapana
Unajaribu kumtetea Mungu asiyekuwepo.

Hakuna Mungu mwenye mipango yoyote ile.

MUNGU hajawahi kuwepo, HAYUPO na hatakaa awepo.
 
Mungu anawaumba masikini. Hapo hapo anawaumba matajiri. (MAANA KILA KITU KINATOKA KWA MUNGU NDIVYO DINI INAVYOFUNDISHA) MasiKIni hawana kitu. matajiri wana kitu.

Ili matajiri waende mbinguni, wanawafuturisha/wanawasaidia masikini na kupata thawabu kwa Mungu ili waingie mbinguni! Kwanini Mungu atumie njia hiyo ?

CONTRADICTION KUBWA SANA
Hapo hakuna utata, shida hujui ulicho kiandika. Kufuturisha watu hakumpelei mtu mbinguni.
 
simple reasoning , kushindwa reasoning...... kama huyo Mungu yupo, naye hataki watu wasio hoji mambo
Mungu anapenda watu wahoji ila hapendi watu wanao hoji ujinga na wavivu wa kufikiri.
 
Mungu anawaumba masikini. Hapo hapo anawaumba matajiri. (MAANA KILA KITU KINATOKA KWA MUNGU NDIVYO DINI INAVYOFUNDISHA) MasiKIni hawana kitu. matajiri wana kitu.

Ili matajiri waende mbinguni, wanawafuturisha/wanawasaidia masikini na kupata thawabu kwa Mungu ili waingie mbinguni! Kwanini Mungu atumie njia hiyo ?

CONTRADICTION KUBWA SANA
Hapo mwanzo, MUNGU ALIUMBA BINADAMU (MWANAUME NA MWANAMKE), Hizo contradiction za utajiri na umasikini zinatoka wapi?
 
Allah ana mambo ya ajabu kweli...anatengeneza tatizo then anajifanya anatatua.
Mnatafuta pinpoint ya kutukania dini za wenzenu mbona hamsemi wale wanaokuja kwa mgongo wa yesu na kuwapa watu misaada mbona hamsemi yesu gan kawapa watu magonjwa na umasikini ili mzungu gan atusaidie wacheni dhihaka tujenge umoja
 
Allah anatengeneza masikini Kisha anatengeneza tajiri halafu anamuahidi tajiri pepo ikiwa atamsaidia masikini. Huoni kama jambo la hovyo hilo?
 
Haya mambo wala sihangaiki nayo tena, it's all a bunch of bullshit. Waoendelea kubishana sijui mungu yupo au hayupo nawaona hawana ya msingi ya kufikiria wala kufanya.
Mkuu baadhi ya njomba ndo kazi zao hizo zinawaweka mjini.
 
Back
Top Bottom