ally timamy Al-kindy
Member
- Dec 1, 2017
- 69
- 70
Mwenyezi Mungu Amemuumba Mwanadamu na akampa Mitihani ili aweze kufaulu Angeweza kumfanya kila kiumbe vile apendavyo yote ni mapenzi yake.Mungu anawaumba masikini. Hapo hapo anawaumba matajiri. (MAANA KILA KITU KINATOKA KWA MUNGU NDIVYO DINI INAVYOFUNDISHA) MasiKIni hawana kitu. matajiri wana kitu.
Ili matajiri waende mbinguni, wanawafuturisha/wanawasaidia masikini na kupata thawabu kwa Mungu ili waingie mbinguni! Kwanini Mungu atumie njia hiyo ?
CONTRADICTION KUBWA SANA
Huyo MUNGU aje hapa tumuonyeshe kazi kama ana huo uwezo.Achana na MUNGU wewe MUNGU humuwezi achana naye huyo
Utataabika bure tu kaka
Mwamini YESU KRISTO upone
DuhHuyo MUNGU aje hapa tumuonyeshe kazi kama ana huo uwezo.
Tunamtwanga TKO sasa hivi.
Na wewe kuwa maskini ili usaidiwe.Ukisoma bible hiyo ni ahadi kuwa ukiwasaidia masikini hautokuwa miongoni mwao.
So scriptures cannot be broken
Maelfu ya watoto wadogo wasio na hatia yeyote ile wamekufa na wanaendelea kufa hapa duniani kwa magonjwa, vita, njaa, majanga ya asili n.kDuh
Yeye anakupenda sana hata alimtoa mwanae wa pekee kwa ajili yako dear
Mungu ambaye mnaamini yeye ni mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele, Anakupa mitihani ili agundue nini?Mwenyezi Mungu Amemuumba Mwanadamu na akampa Mitihani ili aweze kufaulu Angeweza kumfanya kila kiumbe vile apendavyo yote ni mapenzi yake.
Hakuna binadamu anayehitaji umaskini.Kuwa na Mali na kuwa na Masikini hayo nikatika Mitihani aliopewa Binadamu amepewa Ufahamu na Uhuru wa kuchagua ikiwa utahitaji Umasikini au Utajiri na amebainisha njia na Mwisho wa Binaadamu Ima Peponi au Motoni kwahiyo hayo ni maamuzi yako.
This is a public forum where everyone can share his or her own views and opinions.Kwanini pilipli iliyo shambani yakuwasha? Mind your business and be happy
Masikini hajaumbwa. Kajitakia. Kama una siha njema kwanini uwe masikini. Umeandika mawazo ya kimasikini, mawazo ya wapenda dezo. Work hard escape poverty. Any comment against this opinion ni mawazo ya kimasikini. GalaukaMungu anawaumba masikini. Hapo hapo anawaumba matajiri. (MAANA KILA KITU KINATOKA KWA MUNGU NDIVYO DINI INAVYOFUNDISHA) MasiKIni hawana kitu. matajiri wana kitu.
Ili matajiri waende mbinguni, wanawafuturisha/wanawasaidia masikini na kupata thawabu kwa Mungu ili waingie mbinguni! Kwanini Mungu atumie njia hiyo ?
CONTRADICTION KUBWA SANA
Hiyo ni mipango ya MUNGU ndugu yangu siyo kwamba MUNGU kakosa upendo hapanaMaelfu ya watoto wadogo wasio na hatia yeyote ile wamekufa na wanaendelea kufa hapa duniani kwa magonjwa, vita, njaa, majanga ya asili n.k
Na huyo Mungu unayedai anatupenda hajawahi kusaidia chochote!!!
Huyo Mungu hana upendo wowote ule.
Huyo Mungu ni mkatili, muuaji, muovu, bandidu, sadist nunda na dikteta.
Huyo Mungu hafai kabisa anastahili kufurushwa huko alipo.
View attachment 3282119
Hawa watoto maskini wamejitakia kuwa hivi?Masikini hajaumbwa. Kajitakia.
Sio kila maskini ana uwezo waku work hard.Kama una siha njema kwanini uwe masikini. Umeandika mawazo ya kimasikini, mawazo ya wapenda dezo. Work hard escape poverty. Any comment against this opinion ni mawazo ya kimasikini. Galauka
Unajaribu kumtetea Mungu asiyekuwepo.Hiyo ni mipango ya MUNGU ndugu yangu siyo kwamba MUNGU kakosa upendo hapana
Hapo hakuna utata, shida hujui ulicho kiandika. Kufuturisha watu hakumpelei mtu mbinguni.Mungu anawaumba masikini. Hapo hapo anawaumba matajiri. (MAANA KILA KITU KINATOKA KWA MUNGU NDIVYO DINI INAVYOFUNDISHA) MasiKIni hawana kitu. matajiri wana kitu.
Ili matajiri waende mbinguni, wanawafuturisha/wanawasaidia masikini na kupata thawabu kwa Mungu ili waingie mbinguni! Kwanini Mungu atumie njia hiyo ?
CONTRADICTION KUBWA SANA
Mungu anapenda watu wahoji ila hapendi watu wanao hoji ujinga na wavivu wa kufikiri.simple reasoning , kushindwa reasoning...... kama huyo Mungu yupo, naye hataki watu wasio hoji mambo
Hapo mwanzo, MUNGU ALIUMBA BINADAMU (MWANAUME NA MWANAMKE), Hizo contradiction za utajiri na umasikini zinatoka wapi?Mungu anawaumba masikini. Hapo hapo anawaumba matajiri. (MAANA KILA KITU KINATOKA KWA MUNGU NDIVYO DINI INAVYOFUNDISHA) MasiKIni hawana kitu. matajiri wana kitu.
Ili matajiri waende mbinguni, wanawafuturisha/wanawasaidia masikini na kupata thawabu kwa Mungu ili waingie mbinguni! Kwanini Mungu atumie njia hiyo ?
CONTRADICTION KUBWA SANA
Huu nao ni unafiki. Unam-tag halafu unasema asiuone?Mzee Kiranga asiuone huu uzi.
Mnatafuta pinpoint ya kutukania dini za wenzenu mbona hamsemi wale wanaokuja kwa mgongo wa yesu na kuwapa watu misaada mbona hamsemi yesu gan kawapa watu magonjwa na umasikini ili mzungu gan atusaidie wacheni dhihaka tujenge umojaAllah ana mambo ya ajabu kweli...anatengeneza tatizo then anajifanya anatatua.
Allah anatengeneza masikini Kisha anatengeneza tajiri halafu anamuahidi tajiri pepo ikiwa atamsaidia masikini. Huoni kama jambo la hovyo hilo?Mnatafuta pinpoint ya kutukania dini za wenzenu mbona hamsemi wale wanaokuja kwa mgongo wa yesu na kuwapa watu misaada mbona hamsemi yesu gan kawapa watu magonjwa na umasikini ili mzungu gan atusaidie wacheni dhihaka tujenge umoja
Mkuu baadhi ya njomba ndo kazi zao hizo zinawaweka mjini.Haya mambo wala sihangaiki nayo tena, it's all a bunch of bullshit. Waoendelea kubishana sijui mungu yupo au hayupo nawaona hawana ya msingi ya kufikiria wala kufanya.