Post ya kwanza haijataja Allah wala Yesu imewapiga wote tu.Mnatafuta pinpoint ya kutukania dini za wenzenu mbona hamsemi wale wanaokuja kwa mgongo wa yesu na kuwapa watu misaada mbona hamsemi yesu gan kawapa watu magonjwa na umasikini ili mzungu gan atusaidie wacheni dhihaka tujenge umoja
Ahaaa why do you say so Mkuu?Na wewe kuwa maskini ili usaidiwe.
Kwa nini hukutaka na hutaki kuwa maskini ili usaidiwe?
Unaona sawa watu wengine kuwa maskini ili wasaidiwe, wakati wewe mwenyewe hutaki kuwa maskini wa kusaidiwa!!!
Your Bible is Nonsensical.
Hakuna mtu aliyependa na hakuna mtu anayependa kuwa maskini wa kusaidiwa.Ahaaa why do you say so Mkuu?
Mada inahusu masikini watoto?. Umasikini wa kipato unatokana na laziness. Are you lazy to be poor!?Hawa watoto maskini wamejitakia kuwa hivi?
Au umeshiba makande yako una andika vitu bila kufikiri!!!
View attachment 3282166
Sio kila maskini ana uwezo waku work hard.
Kuna watoto maskini, kuna walemavu maskini.
Je na hawa utasema wamejitakia?
Sio kila ambaye ni maskini wa kipato ni mvivu.Mada inahusu masikini watoto?. Umasikini wa kipato unatokana na laziness. Are you lazy to be poor!?
Methali 10:4.
Uvivu husababisha umaskini, lakini mkono wa mtu wa bidii hutajirisha.
Utajiri ni mtego tena mkali sanaMungu anawaumba masikini. Hapo hapo anawaumba matajiri. (MAANA KILA KITU KINATOKA KWA MUNGU NDIVYO DINI INAVYOFUNDISHA) MasiKIni hawana kitu. matajiri wana kitu.
Ili matajiri waende mbinguni, wanawafuturisha/wanawasaidia masikini na kupata thawabu kwa Mungu ili waingie mbinguni! Kwanini Mungu atumie njia hiyo ?
CONTRADICTION KUBWA SANA.... IT DEFIES COMMON SENSE, LOGIC, AND INTUITION
Hapo mzee bishana na Biblia Takatifu. Naamini katika Biblia Kitabu Kitakatifu, kinasema mvivu atakuwa maskini, baasi.Sio kila ambaye ni maskini wa kipato ni mvivu.
Una elewa hilo?